Duration 7:50

Jinsi ya Kupanga Bajeti - 50/30/20

8 624 watched
0
95
Published 2 Sep 2019

Jinsi ya kupanga bajeti -50/30/20, hiyo ni sheria (Budget rule) iliyoandikwa kwenye kitabu cha ALL YOUR WORTH, kilichoandikwa na Senator Elizabeth Warren na Binti yake Amelia Warren Tyagi.Kwa lengo kusaidia watu kumanage pesa zao vizuri.Elizabeth anarecommend kuwa tupanga pesa katika sehemu tatu. 1.Needs-50% 2.Wants-30% 3.Savings & Debt Repayments -20% Hili ni jambo la msingi sana ukiweza kumanage pesa yako vizuri basi unaweza fikia malengo na mafanikio, basi anza na kufanya bajeti kwa kutumia sheria hii 50/30/20 itakusaidia sana.Kwenye video nashare na wewe jinsi unavyoweza kuapply sheria hii katika maisha yako.Karibu 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL 👇 /channel/UCk-G Follow me on Instagram - https://www.instagram.com/zahir11gome ... Twitter - https://twitter.com/Zahir11gomelo Je unapitia maisha magumu/wakati mgumu katika maisha? Usikate tamaa. Angalia Hii-/watch/s1LyF9w-5iM-y Angalia Hii : Kabla ujakata tamaa katika maisha /watch/MMD7pXv9F7B97 Jinsi ya kutengeneza na kuwa na pesa nyingi/Acha mambo haya matano (5) /watch/Aa1L3ozya2MyL ⚡JILIPE MWENYEWE KWANZA /watch/wbpMhs9-oUT-M 🔴FIKRA/MAWAZO YA WATU WALIOFANIKIWA - /watch/YBxTGSjI-sZIT 🔴 KWANINI UNAFELI KATIKA MAISHA NA UNASHINDWA KUFIKIA MAFANIKIO KATIKA MALENGO NA NDOTO ZAKO - /watch/gmUhJ5LeKKaeh 🔴Siri 3 Jinsi ya kuweka malengo -/watch/MndZk_58lzu8Z ............................................................................. Music from Youtube audio library -Steps #Bajeti #PangaBajeti #Mafanikio

Category

Show more

Comments - 9