Duration 9:46

FIKRA/MAWAZO YA WATU WALIOFANIKIWA

48 406 watched
0
506
Published 22 Jun 2019

Fikra/Mawazo ya watu waliofanikiwa, watu wengi waliofanikiwa katika maisha wanafanana kwa vitu vingi sana ikiwa fikra/mawazo juu ya mafanikio.Unataka kufikia mafanikio katika maisha yako then anza kwa kubadilisha fikra/mawazo yako kuhusu mafanikio na adopt fikra/mawazo haya ambayo na share na wewe .Wote walifanikiwa walianza kama watu wa kawaida bila kitu, na kwa kuwa walikuwa na uhitaji wa kubadilisha maisha wakaamua kuwa na fikra/mawazo tofauti na wengine juu ya mafanikio.Leo nashare na wewe baadhi ya fikra/mawazo hayo na uapply katika maisha na yakusaidie kufikia mafanikio katika malengo na mipango yako.Karibu 👉 Subscribe my channel - /channel/UCk-GwqvH437T6TSFbnwYIZQ ............................................................................ 🔴Sababu 4 Kwanini ni muhimu kuandika Malengo, Mipango Na kufikia mafanikio - /watch/4HPNs5oNlRANN 🔴Hatua 6 Jinsi ya kufanya wazo kuwa kweli - /watch/4WbG3ebIhreIG 🔴 Jinsi ya kufikia mafanikio na kukamilisha Mengi katika maisha - /watch/s2q31027xSV73 🔴Siri 3 Jinsi ya kuweka malengo -/watch/MndZk_58lzu8Z .............................................................................. Kwa Sponsorship & collaboration 📧 me zahirgomelo@gmail.com/onlinemedia364@gmail.com Nifuatilie kwenye mitandao yangu ya kijamii Instagram - https://www.instagram.com/zahir11gomelo/?hl=en Twitter - https://twitter.com/Zahir11gomelo Facebook-https://www.facebook.com/G-Online-2180520768924759/ Music -Drop it off & Morning Source Kine Master Store #Mawazo #Fikra #Mafanikio #Gonline

Category

Show more

Comments - 67