Duration 8:19

JINSI YA KUTENGENEZA NA KUWA NA PESA NYINGI /ACHA HAYA MAMBO MATANO (5)

27 746 watched
0
439
Published 28 Jul 2019

Unaweza kuwa tajiri mwenye mafanikio makubwa kama ujenga njia nzuri ya jinsi ya kutengeneza na kuwa na pesa nyingi /acha haya mambo matano (5).Watu wengi wanahagaika na uchumi na wanashangaa kwanini hawawi matajiri na mafanikio makubwa ,wanafanya kazi kwa bidii, na kujituma lakini hawafikiii hatua wanayotaka.Ili uweze fikia mafanikio lazima uaze kwa kubadilisha tabia zako kwanza.Anza leo kwa kuondoa mambo haya matano ninayoshare na wewe leo, ili uweze ƙufikia mafaniƙio unayotaka Katika maisha na kuwa vizuri kiuchumi. Angalia video hii hadi mwisho ujifunze ni vitu gani hivyo na uvifanyie Kazi. KARIBU 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL 👇 /channel/UCk-GwqvH437T6TSFbnwYIZQ ............................................................................ 🔴JIFUNZE KUACHA HILI KUFANIKISHA MALENGO, NDOTO NA KUFIKIA MAFANIKIO (PROCRASTINATION)- /watch/0oR9VQ4QpvRQ9 🔴FIKRA/MAWAZO YA WATU WALIOFANIKIWA - /watch/YBxTGSjI-sZIT 🔴 KWANINI UNAFELI KATIKA MAISHA NA UNASHINDWA KUFIKIA MAFANIKIO KATIKA MALENGO NA NDOTO ZAKO - /watch/gmUhJ5LeKKaeh 🔴Siri 3 Jinsi ya kuweka malengo -/watch/MndZk_58lzu8Z ............................................................................. Nifuatilie kwenye mitandao yangu ya kijamii Instagram - https://www.instagram.com/zahir11gomelo/?hl=en Twitter - https://twitter.com/Zahir11gomelo Facebook-https://www.facebook.com/G-Online-2180520768924759/ #Pesa #Utajiri #Mafanikio #Gonline

Category

Show more

Comments - 40