Duration 5:29

MANARA Aendesha Droo ya SPORTPESA Zawadi Nono Zatolewa

438 watched
0
4
Published 23 Oct 2019

MANARA Aendesha Droo ya SPORTPESA Zawadi Nono Zatolewa KAMPUNI ya Michezo ya kubashiri SportPesa kwa kushirikiana na Kampuni ya mtandao wa simu Tigo Tanzania wamechezesha droo ya kuwapata washindi wa wiki ya tano wa simu janja aina ya Samsung A10s huku ikiwakabidhi washindi wanne wa wiki iliyopita kutoka Dar es Salaam. Akizungumza mara baada ya droo ya wiki ya tano Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi SportPesa Tanzania, Tarimba Abbas amesema Promosheni bado inaendelea ambapo wiki ijayo tunatarajia kuwapa washindi watakaomaliza promosheni na mshindi wa gari mmoja. Promosheni ya Faidika na Jero imezinduliwa rasmi Septemba 20, mwaka huu ambapo SportPesa kwa kushirikiana na Tigo waliahidi kuwazawadia wateja wake simu janja mpya aina ya Samsung A10s kwa siku 40 na gari mpya aina ya Renault Kwid mpya. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) --------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEWS: /playlist?li

Category

Show more

Comments - 0