Duration 26:44

Ufisadi Mbaya Kuliko, Gbadolite ya Chato, Watajiuzia Majengo ya Wizara Dar.

82 208 watched
0
318
Published 6 Jul 2019

Natanguliza Huu Ushahidi, Ili Kuonyesha Mpango wa Magufuli na Mabuffoons zake wa Kujiuzia Majengo ya Wizara Dar es salaam. Magufuli Ni Fisadi anayeona Mbali sana. Ameshajichagulia yake Mnamsikia Mwenyewe. Wameshasajili Makampuni Brela, Issue Iko Hivi, Wakati wa Mnada Kampuni shadowy Inayomilikiwa na Magufuli wanaweza wakapandisha Dau hata Mara 2 zaidi ya Wanunuzi wa Kweli, Kisha wakienda Kulipia Wanamlipa Doto James Kile walichokubaliana hata Wakinunua Jengo zima la Wizara Kando ya Bahari kwa Milioni 10, Utawafanya Nini? Utasema naongea Utumbo Mnakumbuka Maigizo ya Dr, Shika? Unadhani yule alijipeleka tu? Jiulize Ni Kwanini, Wanataka Kumg'oa CAG? Huyo Ndiye Nuksi Iliyobakia. Kama Wanabisha Waseme.

Category

Show more

Comments - 91
  • @
    @ThobiasMarandu5 years ago Hii Ndio Video ya Rais Magufuli akisema Atapiga Majengo Mnada! Na Majuha kama Kawaida yangashangilia. (The hell aliposema atapiga Mashangazi, yapo manguruwe yaliyoshangilia, Aliposema Polisi wakamate Wamama na Watoto Kukata Mashamba ya Bangi yapo Mafisi yaliyoshangilia, Only in Africa! .. ...Expand 10
  • @
    @billgussy60995 years ago The innocent people like tundu lissu will not perish the lord will protect them and he will punish their enemies without delay because he is the lord of revenge! 5
  • @
    @ThobiasMarandu5 years ago Natanguliza huu ushahidi, ili kuonyesha mpango wa magufuli na mabuffoons zake wa kujiuzia majengo ya wizara dar es salaam. Magufuli ni fisadi anayeona . ...Expand 8
  • @
    @hilalalmahrooqi1675 years ago Ww labda huijui buligi kunawanyama wengi alichofanya magu ni kizalendo hamna hufisadi ni sawa kabsa buligi ilitakiwa iwe national park. 6
  • @
    @mushken655 years ago Nakusiikiza hapa kenya. Ndiyo umesema. Weka evidence imumaljze kabisa. Lakini hapa mimi naona unaongea general talk kama wananchi wa kawaida. Wewe ni investigator. Toa critical links zimbane. 9
  • @
    @bonifacefrancis515 years ago Kumbe namaliza mb zangu ukweli uhongo funguka kaka mchawi sulatu, 3
  • @
    @micamathew64335 years ago Natamani sana chadema wachukue uongozi wa nchi, ili tuone kama ninyi mtakuwa watakatifu kiasi gan. 15
  • @
    @paulosamson25 years ago Principles za mwinyi za ruksa ndo unataka zitumike au. 2
  • @
    @mtatiromgeka72705 years ago Ivi mnakuaga ninyi mnaotumiwa bila au kujiriza nchi yk ni ipi na ht km ww utapata pa kwenda ni je ulisha kujiuliza bibi mama shngazi kka na ngd zk wao watenda baada ww kuharibu. Mmh. 5
  • @
    @gimpengigi37175 years ago Mungu akupe uzma uendelee kutupasha ukweli. 7
  • @
    @beatricehenry71015 years ago Pepo la kuzimu, mchawi urogaye mchana kweupe. 13
  • @
    @mwesblind89905 years ago Acha upumbavu wewe ovyo kabisa tena takataka wewe umetusaidia nini. 10
  • @
    @shadadiabdul66895 years ago Yaani kwakua ww hapo ulipo uko kwa Weupe ata sura basi we una we angalia sehemu ulipo pazuri kwahiyo utaki hata kwetu kupendeza.Sisi hatufatilii wakimbizi 13
  • @
    @abrahamhassan3515 years ago Good stuff ndugu marandu mungu akupe umri na akulinde na waovu. 7
  • @
    @robertdaud98945 years ago Oooh my god take back thobias to the hell and bring back ruge. 10
  • @
    @yusufukazamba23915 years ago Kwa siku nyingi huwa wanajifanya wajinga ila siku wakigundua huwa mithiri ya wanyama.
  • @
    @danielphilipo90885 years ago Pumbavu sana wewe,
    mwache rais wetu afanye kazi.
    7
  • @
    @harunmruma22915 years ago Raisi wetu hana pesa huko unaposema, mmeshikwa pabaya. 9
  • @
    @natosimchimba68445 years ago Mtapata shida sana, mshahara anaoupata unataka akajenge mbinguni, vilevile yy n raisi lazima awe na makazi bora nahaiwezekan ukawa mtumishi ukasahau kwenu, kwanza hiyo iko openi ni faida kwawananchii na taifa. 6
  • @
    @edwardmagori66305 years ago Unapandikiza chuki zisizo na mana kaa kmyaa. 6
  • @
    @ngajangaja66405 years ago Mungu tuvushe kwenye mtihani huu braza tobiasi mungu akupe afya njema ili utujulishe mengi. 11
  • @
    @dominicmawala56145 years ago We ni masikini wa kifikra, hujajipanga usituletee ukabila shetani mmoja wewee! Kafie mbali nakingereza chako cha kuokota. 9
  • @
    @rammadhanindemeye99085 years ago Wewe acha ujinga na ubnafsi wa kichaga una taka kila kitu kijengwe moshi. 7
  • @
    @billgussy60995 years ago Ukirusha jiwe gizani ukasikia kelele ujue limewapata. Wote wanao tukana limewapata tena kichwani. 15
  • @
    @dicksonsheja2515 years ago Wewe marandu nyoko sana wewe unamfahamu mbowe na lisu tu! Tanzania huijui pia rais wetu jpm humfahamu! Nyanoko madako ga ng' waso. 14
  • @
    @msemoswedy41255 years ago Uzushi mtupu peleka ujinga huko, chuki tupu. 16
  • @
    @collincarlos74335 years ago Mbwa wew unatuthibishia kuwa lissu ni nyoka. 3
  • @
    @micamathew64335 years ago But nakuunga mkono, mana unayosema ni kweli. 5
  • @
    @muhidinijuma13545 years ago Ww ndo juha namba moja unataka ww ndo uuziwe. 3
  • @
    @Luhende15 years ago Wewe ni mpuuzi mtupu, acha wivu! Na wewe gombea urais ufanye yako! 8
  • @
    @hassannyalile22565 years ago Ni bora uendelee kuongea ukiwa umejificha hivyo, ama ni mti unaongea? 6
  • @
    @fredreckmwakalinga34755 years ago Ni upumbavu kutoa matusi, jibu kwa hoja ukishindwa nyamaze hatuhitaji matusi. 2
  • @
    @williamngazija72845 years ago Huyu jamaa mpuzi kwel, ww kwa uelewa na hakiri zako za matakoni, unaropoka mwenyewe kiswahiri utafikili umemeza chura, kujenga uwanja chato, kwani chato iko wapi, ipo ndani ya tz, haya ni maendeleo ya kazi. 4
  • @
    @princeanselimo45035 years ago Huyu pombe ni fisadi mkuu kuliko hata shetani. Na anaroho mbaya kuliko ibilisi mwenyemkia wa kijani. 3
  • @
    @allykivike72285 years ago Acha kupotosha watu pumbavu huna lakuwaambia watu. 6
  • @
    @godfreymasele5585 years ago Mzushi na muongo wewe jitokeze hadharani usiwekama nguchiro. Wadanyanye manyumbu wenzio hats wewe nifisadi mkubwa shetani mkubwa wewe ushindwe na ulegee kwa jina la yesu. Mnafiki mkubwa. 9
  • @
    @Gamba1775 years ago Makufuli anafaa anyongwe mpaka afe fisadi makufuli na muuwaji mkubwa linaroho mbaya jambazi hili. 3
  • @
    @williamngazija72845 years ago Huyu jamaa yakundo mkubwa wa mawakara shetani wa chadema, jitokeze hapa tanzania hiyo sauti ya kichanga itakuwa chupi mchaniko. Pumbavu cn muache rais wetu. 6
  • @
    @paulosamson25 years ago Shida yako unawaza tundulisu tu sijui ni mke wako kwanza yy anakula bata tu huko majuu utakoma.
  • @
    @princeanselimo45035 years ago Wana ccm wengi ni viraza wa akili na asilimia kubwa huwa wana kansa ya akili pimbi hawa eti unamkuta mtu anakoment eti anamkosoa huyu jamaa brother umeongea point na ukweli mtupu ccm ni makatili mnoo mbwa hawa. 6
  • @
    @kaundajulieth17415 years ago We mchanga magufuri ataongezewa mihula 4! Sasa kwa akili yako unataka afanyrje wakati makao makuuwachaga wakaishi hump bure! Kama ofisi. I zimehama. 1
  • @
    @fortunatuswangubo60135 years ago Wewe ndio fisadi mkubwa kwahiyo wivu ndio unakusumbua.
  • @
    @kulilolobezim.47375 years ago Bro, thobias! Unatusaidia kujua mengi, mungu akujalie afya njema! 9
  • @
    @devidkajilo88525 years ago We msenget bolaata angekfat huyo lsu hanalolote. 1
  • @
    @georgemzoo44175 years ago Kwanza huyu jamaa simtambui, sio mlipa kodi wetu tz. Yeye anasikia uchungu gani? Ww una kuwa mmbea kupita kiasi. Uko ughaibuni yanakuhusu nn?
  • @
    @majaliwahassan9285 years ago Wewe booo just msemaji wa wafisadi kama lisu na chadema ngoja siku yenu ya utawala iwadie tuwaone kama mtaweza chochote duh. 5