Duration 1:47:51

TAHIRA WA KIARABU DUBAI KUA NDIO AJIRA YANGU.

163 626 watched
0
1 K
Published 26 Aug 2021

Alisafiri kwenda dubai akiahidiwa kupata kazi, Alivyofika huko anakutana na kazi ya kumuhudumia kijana wa kiarabu tahira ambae alikua amefungiwa nae chumba kimoja.. maisha aliyoishi ndani ya chumba hicho ilikua ni balaa tupu... Sikiliza mkasa huu

Category

Show more

Comments - 332