Duration 6:5

MIMI SIWEZI/NI NGUMU SANA/MAFANIKIO NI KWA WALIOKUWA NA BAHATI TU

899 watched
0
20
Published 15 Nov 2021

Kumekuwa na taarifa nyingi fake, usijali hatutazungumzia mambo ya siasa hapa.Leo nataka kushare na wewe aina ya taarifa fake tofauti, taarifa fake ambazo labda ulizisikia toka ukiwa mtoto, na ambazo umekuwa ukizisikiliza na kuamini maisha yako yote.Na zimekuwa zikikurudisha nyuma kila siku, labda zimetoka kwa wazazi wako, kwa familia yako, kutoka kwa rafiki zako na mbaya zaidi kutoka ndani ya akili yako mwenyewe. "Mimi Siwezi" "Ni ngumu sana" "Mafanikio ni kwa walionabahati" "SinaThamani" Fikra hizi zimekuwa zikukurudisha nyuma kuishi maisha unayostahili. Kama unataka kufanikiwa na kufika mbali kimaisha na kuishi maisha ya ndoto zako, kuishi maisha kwa masharti yako wewe, kuisha maisha unayostahili na kuwa kiongozi wa maisha yako then acha kamwe usisikilize aina hizi 5 za taarifa fake. 🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 https://afripods.africa/ 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL👉 /c/GOnlineposi ... Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi. 🔴Nifuate IG- https://www.instagram.com/gonline_pos ... BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385 ............................................................................................................................ Pakua Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia 1.Kurank videos zako 2.Itakuonesha Live subscribers count 3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, 4.Kupata Keyword explorer, download sasa 🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇 ⚡SABABU 6 KWANINI KUFELI NI VIZURI KWA MAFANIKIO YAKO 👉/watch/0DtvsaPSehVSv ⚡ TATIZO LANGU NI AIBU NASHINDWA KUKUTANA NA KUCHANGAMANA NA WATU (SOCIAL ANXIETY)| Zahir Gomelo 👉/watch/Ux-K_xwrNK8rK ⚡Kila Kijana Anatakiwa KUSIKIA Hii/CHAGUA MARAFIKI SAHIHI KATIKA MAISHA 👉 /watch/4dNcHRy3fXF3c ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 /watch/82vQPrJKLQnKQ ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 /watch/Q3OgNLNiv4Ng ⚡TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine)👉/watch/MVpN72IhqEyhN ⚡SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BIASHARA (Funguo za mafanikio katika maisha.)👉 /watch/Idi-cfenYymn- ⚡ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU👉/watch/cACnC5KU0WvUn ⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉/watch/YLQEzAh240I2E ⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 /watch/ED2IfZiObHaOI ⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 /watch/sTVx-AcGx_MGx #Mimisiwezi #Mafanikiokwawalionabahati #Ningumusana

Category

Show more

Comments - 2