Duration 41:25

MC Luvanda afafanua makosa ya uvaaji SUTI na TAI, rangi na sehemu za kuzivaa, kujipulizia perfume

2 054 watched
0
36
Published 15 Aug 2020

Hivi karibuni Mshereheshaji na motivational/inspirational speaker nchini, MC Luvanda alishinda tuzo za East African Fashion Awards kipengele cha Most Stylish male host of the year. Ametutembelea kuzungumzia ushindi huo pamoja na kufafanua baadhi ya makosa wanaume huyafanya kwenye uvaaji wa nguo mbalimbali

Category

Show more

Comments - 11