Duration 1:25

LIVE RAIS DKT:JOHN MAGUFULI ANAWASILI DODOMA KUTOKEA MIKOA YA KANDA YA ZIWA

49 watched
0
3
Published 23 Sep 2020

Rais dkt:John magufuli amewasili Jijini Dodoma akitokea Mikoa ya kanda ya ziwa kwenye ziara yake ya kampeni za chama cha mapinduzi akiwa Kama Mgombea Uraisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kupitia tikeki ya chama cha mapinduzi. Alizindua kampeni zake tarehe 29/08/2020 Jijini Dodoma na kendelea Mikoa ya kanda ya ziwa amboya imejumuisha Mikoa ya MWANZA ,GEITA,KAGERA,BUKOBA,KIGOMA NA TABORA #Subscribe Leonard online TV

Category

Show more

Comments - 0