Mahitaji
Kwa kuroweka kuku :
Kilo 1 kuku alokatwa vipande vya kiasi
Kjk 1 ½ cha masala ya biriani ( aroma of Zanzibar) au utakayo penda
Kikombe 1 mtindi mzito usokuwa na ladha
Chumvi kiasi
Maji ya limao au ndimu kiasi vjk 1-2 cha kulia
Mchanganyiko wa kitunguu thom na tangawizi mbici kjk 1 cha kulia
Mahitaji ya rosti/rojo la biriani
½ kikombe maMfuta ya kupikia 1/4 kikombe
Bizari nzima (Kijiti cha mdalasini, pilipili manga chembe 4, hiliki za kijani chembe 4 , karafuu chembe 2 , majani majavu ya Bay )
Kitunguu thom na tangawizi mbichi ilosagwa kjk 1 cha kulia
Vitunguu maji vilokatwa wembaba gram 700
Korosho zilosagwa nzito ( paste ) kiasi gram 40
Heavy cream au double cream 1/2 kikombe
Majani ya kotmiri/dhania yalokatwa vipande vidogo kiasi vjk 2 vya kulia
Majani ya nanaa yalokwatwa vipande vidogo kiasi vjk 2 vya kulia
Mahitaji ya wali
Mchele vikombe 2 1/2
Mchanganyiko wa maji na maziwa ( kiasi cha kuzidi mchele)
Chumvi kiasi
Majani ya kotmiri yalokatwa vipande vidogo vidogo kiasi kjk 1-2 cha kulia
Majani ya nanaa yalokatwa vipande vidogo vidogo kiasi kjk 1 cha kulia
Bizari nzima kama ( mdalasini kijiti 1, pilipili manga chembe 4, hiliki za kijani chembe 4 , karafuu chembe 2 , majani majavu ya Bay )
Samli kiasi vijiko 2 vya kulia
Maji ya wardi vjk 2 vya chai au zaidi
Vitunguu vya kukaanga na korosho kwa mapambo kama utapenda
BIRIANI MASALA https://studio.youtube.com/video/K9QmWjPyhYo/edit
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas /results?search_query=farhat+yummy
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en
Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world