#maisha #simulizizakweli #mbanga
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Dar24 #Dar24Media
@bilalbaker92383 years agoAsante mbaga, lakini pia ndugu boda kwa kutueleza kiumakini. 1
@
@emmanuelmkumbo17923 years agoKazi kama kazi, karibu sana mshkaji wangu.
@
@crixwidaxl99993 years agoKazi km kazi. Hahaha karibu ten mshikaj wang.
@
@pendaelimolell35103 years agoNi kweli brother ata mimi nilisha fanywa ifo jamaa kanitoroka bila kunilipa. 1
@
@giddyarchard62683 years agoHizi story za msibani kufariji wafiwa. 1
@
@Davians7113 years agoFather piro umeyumba umejichoresha kinoma.
@
@ramadhanyusuph76333 years agoJamaa kuna neno kasema nimelipenda sana kwamba kazi ni akili yako kukomaa upate pesa au kula mzigo tu uludi patupu tzlaha sana. 3
@
@jumahamis2273 years agoAna maneno mengi sana, inaonekana mchangamfu sana ukipanda boda yake. 1
@
@zindahwillson21063 years agoMatukio yote umekutana nayo we no ma sana mzee.
@
@castoagust70733 years agoKama umeskia sometimes madem wanalalia mgongo wangu gonga like. 7
@
@magretpeter99243 years agoHapo kwenye kumpa boda yako akachukue hela kwa boss ni uzembe utampaje mtu chombo chako cha motoo? 1
@
@magemushi55943 years agoChereani tena ya umeme maneno mengiii sijui unaulizwa nini unajbu nini ilimradi umechangamsha genge.
@
@bilhaagutu97883 years agoWale wa 254 wapi likes zetu kwa kipindi kizuri.
@
@yohanamuumbe46283 years agoWaandishi wa habari muwe mnaandika habari za kuelewaka kwa jamii, jadithi hatutaki. 1
@
@dulamedy22963 years agoKaribu tena mshkaji wangu. Huyu kweli ni bodaboda.
@
@mwidinijuma82143 years agoHuyu jamaa kama muongo vile anasema pikipiki ilikuwa silencer alichofanya nikuwasha bodaboda na kuondoka! 1
@
@adilhabibu79583 years agoSema hapo wasomesha wenzio kama btahadhar tu.
@
@fadhilikawambwa51593 years agoMmh huyu jamaa hakumaliza kweli? Mbona mjanja sana.
@
@jayjay43133 years agoJamaa wa namna hii waongeaji ka umeme lazima story zao zihusike na mambo ya kutofikirika. 5
@
@stidejustin11563 years agoYani kuanza ru kutizama nimejua haka kajama kanaongea sana kazee lkn kansmuita jamaa mshkaji wang.
@
@cheiknamouna20583 years agoAti ukiwa msafi is mater zaidi nani kaskia hiyo. 2
@
@godfreypeter52423 years agoHuyu jamaa muongo alifanya ukiondoa hiyo mitihani mingine.
@
@ivaniavianarodrigo72013 years agoHuyu kameza mabetry na zile kanda za kaseti, au flash maana daa! Analonga sana. 2
@
@uvuvuvwevweonyetenyevwe1213 years agoSura na shat kama muimba kwaya ila sasa anavyopiga domo anaonekana dalali huyu.
@
@d.m4533 years agoKwani bodaboda yenyewe inasemaje bladha, maana naona mauongo uongo tu, kila uulizwacho ulikutana nacho.
@
@magrethdavid34683 years agoHahahahaha kweli kana mastory ya uongo haka kazee. 1
@
@magemushi55943 years agoUlivokua unaambiwa na uyo dada mmalizane ulikuwa na iyoiyo sura au nyingine. 1
@
@irakozejclaude78693 years agoKwanza mzee au kijana? Nahofu nahuu kiumbe waajabu. Dc huu mchukuwe kachunguzwe. 1
@
@alphankilenga62093 years agoHuyu jamaa lazima alimenya. Maana mijidada inayojiuza kama hiyo inakuwaga na mitego ya new model. 3
@
@christianjohnmwalugaja80903 years agoHuyu mwongo tu kisa cha kwanza alichohadithia. 1
@godwinmpazi15603 years agoHuyu jamaa, ugali na dagaahuo mlo ndugu zanu namkumbuka alikuwa mpiga debe kituo cha mwenge enzi hizo matopemsingi sasa none kana nimezeeka kuliko yeye.
@
@suzanemwangingo69323 years agoSina muda wa kumsikiliza huyu chizi naangalia watu wanaoongea point.
Related videos for DEREVA BODABODA ALIVYOKUTANA NA KIUMBE WA AJABU USIKU WA MANANE/ALINAMBIA TUMALIZANE/CHUPUCHUPU:
karibu ten mshikaj wang.
kufariji wafiwa. 1
namkumbuka alikuwa mpiga debe kituo cha mwenge enzi hizo matopemsingi sasa none kana nimezeeka kuliko yeye.