Duration 3:1

Baadhi ya wahubiri wakashifu ‘masharti makali’ ya kufungua makanisa

3 231 watched
0
18
Published 12 Jul 2020

Muungano wa baadhi ya viongozi wa dini kutoka kaunti na madhehebu mbalimbali wamepinga na kukashifu vikwazo vilivyowekwa kwa makanisa kufunguliwa wakati huu wa janga la Korona.

Category

Show more

Comments - 20