Duration 7:25

Pilipili ya maembe | Achari ya maembe | Kutengeza pilipili ya maembe yakukaa kwa muda mrefu sana.

15 464 watched
0
218
Published 19 Sep 2020

#mapishiyapilipili #pilipiliyamaembe #achariyamaembe Website:rukiaskitchen.com Instagram: rukias _kitchen Facebook: Rukias kitchen Cookpad: Rukias kitchen Mahitaji:- Maembe 2 Masala ya unga vijiko 3 vya kula Chumvi Kitunguusaumu na tangawizi vijiko 2 vya kula Pilipili za kijani za kuwasha vijko 2 Uwatu kijiko 1 cha chai Mbegu za rai kijiko kidogo Manjano kijiko chakula Mafuta kikombe nusu + vijiko 3 Maji ya ndimu vijiko 3 English recipe follow the link➡️ Mango pickle | How to make pickle Achar recipe| Spicy mango pickle recipe. /watch/suU2TJG9JQw92 For more swahili videos follow ➡️ /channel/UC9CY2wU1qjkzfajJyNf0d9w

Category

Show more

Comments - 32
  • @
    @RukiaLaltia4 years ago If you would like to watch this recipe in English language press the link ➡️ 4
  • @
    @saidasalim84992 years ago Aa samahani ddngu hizo za black ndogo ulokaanga ni nn plzz 1
  • @
    @shamzone3884 years ago Kweli tamu ajabu hiyo pilipili
    Nzuri sana kwa chakula cha mchana Asante sana allah atakulipa
  • @
    @salmazkitchenfun15014 years ago Wow mate yamenitoka jamani looks so easy to make inshalah will try 1
  • @
    @mariamibrahim98554 years ago You are the best,, you need a tv show inshaAllah
  • @
    @user-mz2cq8oo3vlast month Naomba ushauri hapo wengine viziwi tunatamani notice kitu unachoweka kiandikwe nitce msaada jamani au
  • @
    @magrethpeter66754 years ago Kama huna hiyo uwatu, na petizalai unatumia nn?
  • @
    @safiaothman10984 years ago Kitu gani kinaifanya pilipili isiharibike?