Duration 28:40

ALL WHEEL DRIVE: Mautundu ya kijana Jun anayeijua gari aina ya Subaru nje ndani

142 224 watched
0
1.1 K
Published 13 Mar 2020

MAUTUNDU YA KIJANA JUN ANAYEIJUA GARI AINA YA SUBARU NJE NDANI: Jun Nakatsugawa na mdogo wake Ken kupitia kampuni yao ya Gear Tech Performance wana uwezo mkubwa wa "kuzichokonoa" sports cars ziweze kuwa na nguvu zaidi. Fuatilia mazungumzo ya Ken na Sadam Mushi katika makala hii ya All Wheel Drive kutoka AzamTV akiongea kuhusu kinachofanya gari aina ya Subaru Impreza WRX kuwa chaguo la wengi katika kunogesha magari, yaani modification na tuning kupitia kampuni yao ya GearTech Performance. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 94