Duration 3:2

SERIKALI ZANZIBAR YARUDISHA DARASA LA SABA, WAZIRI AZUNGUMZA

3 068 watched
0
43
Published 24 Dec 2021

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imetangaza kurudisha Darasa la Saba katika mwaka mpya wa masomo 2022 Kauli hiyo ya Serikali imetolewa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mheshimiwa Simai Mohammed Said wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Ofisi hiyo iliyopo Mjini Unguja Simai amesema serikali imefikia kuchukua uamuzi huo baada ya kutathimini na kupokea maoni ya wadau mbalimbali wa sekta ya elimu juu ya mwenendo wa uzorotaji wa ufaulu kwa Wanafunzi ambao humaliza darasa la Sita na kuingia sekondari hali inayopelekea kushindwa kuhimili masomo ya Sekondari na kupelekea ongezeko la Wanafunzi kufeli katika Mitihani ya Taifa ya Kidatu cha Pili SERIKALI ZANZIBAR YARUDISHA DARASA LA SABA, WAZIRI AZUNGUMZA... WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Category

Show more

Comments - 10