Rais Uhuru Kenyatta Ijumaa hii katika Ikulu, Nairobi amefanya mkutano na viongozi waliochaguliwa kutoka eneo la Nyanza kabla ya ziara yake ya maendeleo ya mkoa huo baadaye wiki hii.
Uhuru anatarajiwa kuongoza hafla ya sherehe za siku ya Madaraka ya Mwaka huu katika kaunti ya Kisumu, Jumanne, Juni 1.
Follow us on:
Facebook: https://facebook.com/HopeTVKenya
Twitter: https://twitter.com/HopeTV_KE
Instagram: https://instagram.com/HopeTV_KE