@soniyakinywelo86274 years agoDaah......hongera Sana kijana kwa ujasiri ......
@
@matanobaya76604 years agoNiliposkia mawakambo amekuwa chizi na babake amepona nilifarijika huku machozi yakinitoka.inaniliza kweli.😢😢😢pole bro 4
@
@abdulhalimhumud19174 years agoHongera Mr Mata Kwa Kazi yako Mzuri Mungu akubarik amen 🙏 1
@
@manbanshaban92534 years agoAsante sana mzee wa matukio kwa kuleta muendelezo mapema,,muambie kijana atupe namba za mtibabu kabla na sisi tufanywe msukule. 3
@
@jennifer19424 years agoSijawai kujutia Chanel yako inatufundisha mengi sana.mimi mwenyewe nilitolewa msukule.nilikua nalinda kanisa la kinaigeria
@
@zoey26354 years agoIpo Siku Huyo maza atakuja kusimulia hapa mungu ni mwema 1
@
@awadhirajabu77544 years agoWe Habari Gani Naludia Ili Niijue Vizulj
@
@lorraineatieno65444 years agoOne of the greatest reporter..investigater...unafanya kazi nzuri sana. Ur so inquisitive natunapata picha kamili ya story. God bless u more.
@
@chidiomari.654 years agoWah,unatakiwa uitwe Davista Master, maana kazi unayoifanya ya kutafuta matukio ya wakulungwa Ni balaa, Asante kwa Service yako tunakufuatilia kwa Kila story.ingawa story nyingine hata comments unaogopa kucomment. 1
@
@mikabaylon17564 years agoHongera sana Mata vipi yule bwana wa bagamoyoo aliishia wapii? 2
@
@shabanmsago32274 years agoNami nna ndugu zangu nahisi vifo vyao co vya kawaida
@
@euniceeunice76804 years agoKwaiyo apo mtamshukuru mganga 😀😀😀😀😀😀wkt mmesaau kama mganga na mchawi boss wao ni 1 ambae ni shetani...
@
@mariamissa19744 years agoHili liwe funzo kwa wengine wenye tabia Kama hizi😥inasikitisha sana 1
@
@janeeesailon73254 years agoJamanii naomba no ya huyo kaka nimpate mamaangu, pia alikufa mazingiraaa ya kutatanisha 😢😢😢 1
@
@fatmakiruwasha23784 years agoDuu wanawake ss jamani hebu tubarike jamani
@
@roseuwambe80894 years agoDuu huyo mamaaliolewa iliapate malisasa mabaya yana mludia mwenyewe
@
@omarynamara13394 years agoJamani ndio narud kanisani nimechelewa
@
@shamsaseiph88774 years agoThnx davister. Lkn kaka tunaomba muendelezo wa yule dada alokuwa anauza vipodoz akaambiwa na mganga alale na kaka ake
@
@maryammohammad11484 years agoAisee paka ni melia jaman tumuogope mungu
@
@hamidaalhabsi85684 years agoEEEE BINADAMU kweli atutosheki mpaka mchanga wa kaburi poleni sana WATOTO 💔💔 1
@
@ameame19904 years agoNakukubaali saana kiukweeli dunia inamaaambo
@
@namename86704 years agoBigger bro davista mata I love you show I'm in the Kingdom of Bahrain watching
@
@moreenmbatha11474 years agotunataka part 3 kama dawa ya corona plz 2
@
@sophiaalexander60254 years agoDaahh yani sisi wanawake tunaferi wapi Baada ya kujibebisha vzr ukae nawatoto vzr unaa za mazaru hiyo bahatinikiipata mm sifanyi ujiga huo
@
@eldahwangeshi52714 years agoLol makubwa haya.... may the almighty strengthen that family through out.....🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 1
@
@saumrashid80864 years agoJmn cc ndio hamuoni 😢😢😢😢mtangazaj bro davistar 1
@
@gosbertmuta54213 years agoKwa wakristo hamna haja ya kushangaa Sana maana kina Lazaro bado wapo ukiamn iman yako inakuponya na hii ndo imani bhana
@
@ayshamahariq66654 years agoTamaa mbaya yan ukutee mtu na malii yake na family yake umuuwe iliufaid ww kesho mbelee ya mungu utajibu nn shkuran bro watuelimisha 1
@
@wantangosaimon52954 years agoKama huyo mwanamke alikuwa chizi safi xana hajui malipo ni hapa duniani mbinguni tunaenda kula bata 1
@
@ibrahimrukundo30644 years agohuyo mama anastahiki kuhangaika kabisa. 3
@
@alimachitechi21073 years agoMpelekeni kanisani moja huyo davister atamwelekesa kwa watu wamoja wenye aojiana wamebonea kwa yesu kristo
@
@neemaabdallah35674 years agoMbona mwatuonesha fulana na ss twataka ona
@
@chrissackland53694 years agoHii Haijakawa Sawa Story mbona Imeisha Bila kueleweka hamjatuonesha Muhusika 1
@
@africandarling69254 years agoHiyo yote mwanamke Halikuwa na tama ya kitu na sio utu dooo tama mbaya sana wanake wezangu 1
@
@florachuwa3014 years agoduuuh hatar na nusu...sasa keshakua kichaa anavuna alichopanda ...mtu kakuifadhi maela uneyakuta unashindwa kula kwa adabu...chaaah
@
@mwajumashauri96744 years agoNaomba uniunganishe na uyo ulie muhoji maana na mm nnashida km ya kwake nipate uuyo msaidiz 1
@
@gaudensiarobert47824 years agoMungu atunusuru wanawake na tamaa za mali so sad hii inaitwa mwana kulifaind mwana kuligert 😂😂😂kashakuwa chiz tena 7
@
@teddyelieza97804 years agoUsimfanyie mtu ubaya wanawake wanaoamini uchawi ni wabaya
@
@mwidadiabdalla35644 years agouchawi hauna mwisho mwema. ila ningependa kumjua huyo mganga kama hutojali
@
@aminahassan44984 years agommh wallaai emuungu eee.sasa tumuone huyo baba jamniiiiii dunia hii 3
@
@zevedikassim80114 years agoDunia inavitko mungu atuepushe na majaribu kama hayo 1
@
@abbyadams86914 years agoAaaafu kuna mijitu inasema hakuna uchawi.Guys!!!! 1
@
@mariamali18874 years ago🙄🙄🙄🙉🙉🙉 hii kali. Kweli mwenyeezimungu amesema. Mshirikina atakaa motoni milele. Na nizambi kubwa isiyo sameheka. Yaaani toka nianze kutizama hivi vipindi nimejifunza vitu vingi. Na tulisha ambiwa mwisho wa dunia kutakuja fitina ambazo zitatuacha mdomo wazi ndio hizi sasa . ...
@
@emmanelly68644 years agoPart 3 pls. Hizi story za msukule i hear them and it feels like am watching a movie. Wonder if it could have happened to my bro who died mysteriously in tz
@
@alfambaga98234 years agoDavi umezinguaaa hujatuonyesha huyo baba😀😀😀
@
@goodgood93704 years agoIsee Davister hii kali sana jamani ..yaani umkute mtu na Mali zake na watoto wake badale ushukuru mungu ,hutateseka vibarua na Jua likikuwakia ..unaamua kumuua mzee wawenyewe ubaki na Mali yake ambayo hujui alitesekaje kuipata .isee wanawake tupunguze roho chafu tujue mungu nae yupo anatuona ..hakufanya vizuri huyo dada nalaani hicho kitendo chake. ...15
@
@Hassanmofty4 years agoNani kawai namba leo sijaona akijitambulisha
@
@fatmamustapha69294 years agoPongezi kwa bamdogo na watoto mtoto kwa mapenz ya hali ya juu Navaa kiatu Cha huyu kaka nikiota mzee anakwambia nidaidie naeza sema ni kutokana na marue rue ya msiba na mawazo tu na ningemuschia mungu na kisingeendelea chochote daaah inauma Sana jmn sanna🙏 ...1
@
@shebaminde76564 years agoYeuuuwi ningemwona baba yangu mmmh!! Kwanza ningetoa kijambo cha mshtuko na yangefata mavi ya mwaka mzima ningekunya kuliko tembo!!maana sio kwa mshtuko huo🏃🏃🙆🙄
@
@nellyrhn43494 years agoKwakweli malipo yazambi ni umauti uyo mama kapata alicho kua anatafuta kwakweli mshahara wazambi ni mauti story nzure yenye funza ndani yake wanawake typunguze tamaa
@
@maryamoman13704 years agoKumbe kweli uchawi upo jaman duuh wachawi hawa 1
@
@khadijaomar84274 years agoDuh so msukule hua ameekwa kiti ama???
@
@dullamburu17184 years agoHongera Sana brother na pole Kwa kujua umuhimu wa Mzee na kufanya juhudi mpaka mukampata hai tena Mungu akubariki ww na familia yako pepo ya Mungu huipati kama hujawatendea wema wazazi, huo wema ulofanya Kwa Baba yako hongera Sana na huyo mama wacha ya mkute mwisho wa ubaya aibu, fedheha, na malipo, Anae kufanyia ubaya kamwe haondoki duniani salama nae utamkuta tu ubaya wake. ...3
@
@paschalmzyungu43534 years agoMmmh duniani kuna mambo..,kwa mtindo huu, mke wangu akitangulia sioi tena..Mungu nisaidie 7
@
@hamidibrahim53694 years agoUnaweza kumsaidia vipi mtu ambayo ameuliwa kiushirikina na kufanywa msukule.... Kuna zaidi kando na dua, sadaka na amali njema??????
@
@nusuratihamisi65244 years agoDunia inamambo duh nimeamin uchawi upo😭
@
@mariamfritsi97614 years agoMambo mengi ya ajabu duniani humu,hivi mtu azikwe alafu ageuke gogo,alafu tena ageuke mtu.ama kweli inatisha,mtu azikwe alf awe mzima tena. 3
@
@zulfakamwenga53544 years agoDavi mbona hukutuonesha huyo baba japo ukamficha sura
Related videos for PART2MAMA YANGU MCHAWI AMEMUUA BABA/ANAKAA CHOONI TUNAMUONA USIKU/ALIVAA SHUKA JEKUNDU/UCHAWI GODORO:
Baada ya kujibebisha vzr ukae nawatoto vzr unaa za mazaru hiyo bahatinikiipata mm sifanyi ujiga huo
Navaa kiatu Cha huyu kaka nikiota mzee anakwambia nidaidie naeza sema ni kutokana na marue rue ya msiba na mawazo tu na ningemuschia mungu na kisingeendelea chochote daaah inauma Sana jmn sanna🙏 ... 1