Duration 3:55

HABARI MPYA:CHANZO KIFO CHA FLOYD DUNIA YAPAMBA MOTO TRUMP ATISHIA KUTUMIA WANAJESHI

56 watched
0
2
Published 3 Jun 2020

#kifochafloyd #marekani #maandamanoduniani Dunia imeungana kutaka askari wa polisi waliotenda tukio la kinyama kwa bw. George Floyd wachukuliwe hatua kali za kisheria, Mataifa mbalimbali yameruhusu Maandamano licha ya corona kuwepo ili kuungana na wamarekani kupaza sauti zao dhidi ya washtakiwa hao.

Category

Show more

Comments - 0