Duration 23:55

BREAKING: MAJINA ya VIONGOZI WAPYA wa CUF Haya HAPA

21 005 watched
0
60
Published 13 Mar 2019

BREAKING: MAJINA ya VIONGOZI WAPYA wa CUF Haya HAPA! Chama cha wananchi CUF kimefanya uchaguzi mkuu leo Machi 13, wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa pamoja na Kaimu Mwenyekiti wa Tanzania bara na Visiwani. Waliokuwa wakigombea nafasi ya uenyekiti ni Ibrahim Lipuumba, Dayana Simba na Zuberi Mwinyi. Profesa Ibrahim Lipumba ameibuka kidedea tena katika nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ambayo awali pia alikuwa akiishikilia yeye... #CUF #LIPUMBA /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 66