Duration 8:37

Kisa cha Mama aliyemwaga Machozi kwa Makonda, Kinasikitisha

41 403 watched
0
111
Published 11 Apr 2018

Kisa cha Mama aliyemwaga Machozi kwa Makonda, Kinasikitisha! Kufuatia zoezi la Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, linaloendelea ofisini kwake la kuwasikiliza wanawake waliotelekezewa watoto na wanaume zao bila ya huduma, mwanamke mmoja amejitokeza ofisini hapo na kuelezea kisa chenye kukutoa machozi juu ya baba mtoto wake. Mama huyo akiongea kwa uchungu amesema aliwahi kumpandisha mahakamani mzazi mwenziye huyo ambapo akaandika barua ya kusema kuwa atamlipia ada mwanae lakini ilipofika muda hakulipa na kusababisha mtoto huyo kutimuliwa shuleni, mpaka alipokwenda kukopa pesa na kumrudisha shuleni mwanae. Mama huyo pia amesema awali wakati anaishi na mzazi mwenziye alikuwa na maduka yake, lakini baada ya kusafiri kwenda China, aliporudi akakuta mwanaume huyo amebeba kila kitu na kumpelekea mchepuko wake. Hivyo amefika ofisini hapo akiwa na imani kubwa ya kusaidiwa ili apate haki ya mwanae ambaye kwa sasa anatakiwa kuingia kidato cha tano. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ...

Category

Show more

Comments - 75