Duration 17:51

TUJIADHALI NA MADAWA YA KULEVYA ASEMA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE LT. JOSEPHENE MWAMBASHI USHETU 2021

176 watched
0
2
Published 14 Jul 2021

Luteni Josephine ameyasema hayo katika Halmasahauri ya Ushetu katika Kata ya Nyamilangano ambapo mkesha wa mbio za mwenge uliandaliwa. Amesema madawa ya kulevya yana athari kubwa kwa taifa kwani yanaaribu nguvu kazi ya taifa, hivyo ni vyema kuyapiga vita madawa ya kulevya na kuwahimiza vijana kuepuka kutumia madawa hayo. Pia viongozi wamepata nafasi ya kutembelea mabanda mbalimbali ya maonyesho yaliyoandaliwa na wadau mbalimbali kutoka wilaya ya kahama. Endelea kufatilia huheso digital tv,share,comment,subscribe

Category

Show more

Comments - 0