Duration 2:55

CCM wampitisha Katibu Mkuu mpya wa UVCCM, yaweka viporo nafasi ya Mwenyekiti, Makamu

336 watched
0
2
Published 22 Jun 2021

Kamati kuu ya Halmshauri kuu ya chama cha mapinduzi CCM imemteua kenani kihongosi kuwa katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM. Awali keneni kihongosi alikuwa mkuu wa wilaya ya Iramba na anachukua nafasi iliyoachwa wazi na mwl. Reymond Mwangala ambae hivi karibuni aliteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176 ... HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/ DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/ INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig ... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid ... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

Category

Show more

Comments - 0