Duration 5:12

MA-DC WASHTUSHWA KUSTAAFU RC MWANRI ALIKUWA MWALIMU KWA ALIONESHA NJIA, ALITUFUNDISHA UTAWALA BORA

18 464 watched
0
107
Published 5 Jul 2020

Wakuu wa wilaya za Kaliua,Uyui,Nzega na Igunga wamepokea kwa mshtuko taarifa ya kustaafu kwa aliyekuwa Mkuu wa Tabora Aggrey Mwanri na wameleza namna alivyowasimamia katika utendaji wa kazi

Category

Show more

Comments - 49
  • @
    @karoneynehemiah35334 years ago Kusanya hawa wote sukuma ndani, man toronto tz will miss you in service. 4
  • @
    @majidimansury37514 years ago Safi ukiwa mwema utasifiwa ila ukiwa mmbaya utalaaniwa my allah mpe maisha marefu ynye afya mkuu hyo. 5
  • @
    @bryanfelix11724 years ago Good leader may god give u alot of grace i promise you will be promoted to high level especially in pccb sector. 3
  • @
    @juliejaphet27004 years ago Hilo jembe lazima lipatiwe shughuli za kufanya halitakaa bure bado sn. 5
  • @
    @SM-fu1yv4 years ago Naomba mweshimiwa rais ampe huyu mzee cheo kingine mimi binafsi huwa namfatilia sana speech zake mzee agrey. 4
  • @
    @zuberigwakula85314 years ago Nani hajapenda kustaafu kwa mwanri kama mimi. 34
  • @
    @francisrukeisa62994 years ago Huyo mzee ingawa sijakutana naye ana kwa ana lakini nimefuatilia utendaji wake wa kazi ni makini.
    naomba serikali imwangalie kama hupo uwezekano naomba mweshimiwa rais amwongezee hata miaka mitano.
    5
  • @
    @charlesfrolence19834 years ago Dah tutammic saana mzee wetu mwanri anyway kila la kheri kwa mzee uyoo. 1
  • @
    @mustafahassan82864 years ago Mkoa wa tabora sio tu walipata mkuu wa mkoa pia walipata rafiki mungu amuongoze mzee katika maisha yake. 2
  • @
    @christinamichaeel97134 years ago Dah naskitika sana mkuu wa mkoa wangu kustaafu.
  • @
    @wahidkombokhamis43304 years ago Tujifunze kupitia mzee wetu mwanri, aliishi na watu vizuri na hakuweka mbele uchama bali maendeleo, tujifunze kuwekeza pia kwa binaadam wenzetu kwa kuwatendea mema. 1
  • @
    @MrCosmas154 years ago Mzumbeor udsm, mpeni mwanri phd ya falsafa ya uongozi kutoka na weledi na mchango wake mkubwa kwa taifa kama mnavyotoa kwa marais, anasatahili kabisa heshima . ...Expand 7
  • @
    @rassimbaengswahili61914 years ago Namimi binafsi nimesikitishwa sana na taatifa za kujiuzulu kwake, nilimpenda sana tena sana mkuu huyu. Ni mcheshi, mahiri ktk kazi na mfuatiliaji, hakika alikua jemedari ktk majukumu ya ukuu wa mkoa. 1
  • @
    @husseinkatuga4144 years ago Tutakumis sana mkuu wetu wa mkoa wa tabora.
  • @
    @abbyadams86914 years ago Mi nilimpenda alivyokuwa mpendasana kuifanya tabora kuwa ya kijani. Naomba magufuli amchague kuwa waziri wa mazingira. 1
  • @
    @simongalahenga68584 years ago Hakika hata mimi nitamis san ingawaj hakuwa kiongoz wangu.
  • @
    @kekiplus1andonly4 years ago Huyo mzee tayari ana cheo. Chake awamu ijayo. Kwaiyo lazima astaafu kwa muda. 7
  • @
    @benedictodaniel3234 years ago Jamani mh rais mpatie kazi yoyote huyo mzee nimchapakazi usimwache akae nyumban tu,
  • @
    @saidbabu91984 years ago Mweshimiwa rais kweli aongee na mzee wa toronto, agombee ubunge popote pale atapita tu vijana bado wanamuhitaji. Soma hiyo tutapigwa mkenge, kweli ulitufurahisha sana.
  • @
    @prophetfaithmasimbani87424 years ago Ijapo kuwa naishi mbeya. Toronto sijafika. Lakini nilipenda kumsikiliza mzee wa sukuma ndani! Nami kwa kweli nitammis. Mzee karibu mbeya.
  • @
    @saidimazengo99344 years ago Huyu mzee alifanya kazi kwa niaba ya wazee, na aliwainua wazee kuonesha kwamba uzee sio uzembe. 1
  • @
    @mathayodundo54334 years ago Agombee jimbo lakawe njia zamitaa hazipitiki. 1
  • @
    @ilynpayne74914 years ago Nime chukia sana kuona huyu mzee mwanri ame staafu. 1
  • @
    @ayoubabdull12654 years ago Kama nyie ndio wanafunz wake kwa nin nyie msifany kaz kama yey. Pumbav san. Gar zipo dereva yupo tatizo lenu nin msiende maeneo husika kama yey. Pumbav. 1
  • @
    @MrCosmas154 years ago Mzumbeor udsm, mpeni mwanri phd ya falsafa ya uongozi kutoka na weledi na mchango wake mkubwa kwa taifa kama mnavyotoa kwa marais, anasatahili kabisa heshima . ...Expand 7