Duration 51:56

Full Hotuba: MAGUFULI - NATAKA TANZANIA IWE KAMA ULAYA, BORA KUFA LAKINI NIFIE NCHI YANGU

99 361 watched
0
750
Published 6 Aug 2020

Full Hotuba: MAGUFULI - "NATAKA TANZANIA IWE KAMA ULAYA, BORA KUFA LAKINI NIFIE NCHI YANGU" MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Agosti 06, amechukua fomu ya kugombea urais katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma na kuhutubia wanachama wake waliofurika nje ya ofisi za ccm.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 477
  • @
    @kekiplus1andonly4 years ago Hebu imagine raisi una raha, raisi una amani, uso wako tu unaour hero.
    kutenda mema ni thawabu, naamini mungu ataendelea kukulinda na kukusimamia kwa muda mrefu sana kwa ajili yetu na kwajili ya familia yako sababu wao ndo hukutia moyo kila unapokutana na magumu.
    amin amen
    .
    ...Expand 45
  • @
    @baptistaseverinonchamocose23594 years ago Sisi uku mozambique mzeetunakukubali sana. Sio membe, na lizho. 56
  • @
    @annasimon41184 years ago Nampenda lisu mbowe na chadema kwa ujumla ila rais apewe magufuli kazi yake kubwa sana amefanya mengi mnyonge mnyongeni haki yake mpeni magufuli mama samia kasim majaliwa ummy mwalimu wamefanya kazi. 4
  • @
    @fatumamsemo15054 years ago Hapa kinshasa congo tunakusikiliza kwa upendo mkubwa, allah akujalie baba. 12
  • @
    @roswitamkinga85834 years ago Hakuna wa kukuweza ww maana mwenyezi mungu anakulinda na pia unao ulinzi wa roho mtakatifu. Barikiwa sana mh. Rais wetu. 42
  • @
    @johnmasoud17534 years ago We have visionary leader, actually we thank god
    ukweli mungu ametupendelea na ametupa tunuu katika nchi yetu.
    3
  • @
    @egidiusthadeo55734 years ago Uku tuna wiki mbili wakina mama wametuliwa ndoo!
    maji yapo masaa 24
    ongera baba.
    54
  • @
    @congratulationmayunga4144 years ago Mhe. Rais wetu doct. John pombe magufuli mungu akulinde sana umepiga kazi kwa mda mfuupi tuu wa miaka mitanoo tumeuona uongozi wako ulio boora hakika kura yangu ya ndioo haina kipingamizi kwako lazima nikupe tena! 12
  • @
    @Felix722824 years ago Huyu ndo rais wa nchi. Tulichelewa sana. 42
  • @
    @regankisoka37404 years ago Najivunia uongozi wa mh raisi magufuli wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwanamna ameitengeneza nchi maendeleo kila kona yanchi yetu asante baba tuko pamoja sana. 19
  • @
    @missmwayway47044 years ago Allah azidi kukuzidishia aman ndani ya moyo wko rais wetu kwani wananchi wako tunakupenda kwakweli, uzidi kuiongoza nchi ytu. 31
  • @
    @Jean74etoile4 years ago Naipenda plan yako baba. Mimi natoka drcongo. Asante. 7
  • @
    @francisrukeisa62994 years ago Ahsante mweshimiwa rais magufuli kwa kutoa hotuba yenye ufafanuzi na sera safi na zinazokubalika nchi hii.
    na la muhimu ahadi zako ukizitoa huwa ni tofauti na hawa wapinzani wanaotoa hotuba zisizokuwa na sera za kuinua nchi hii, sana ni uongo, unafiki na kutafuta njia za kuiba rasilimali zetu. ...Expand
    35
  • @
    @mariammakame2554 years ago Asante raisi makufuli na walemashehe wahurumie wamekaa miaka mingi jela asante raisiwetu kwaupendowako unaouonyensha kwa sisi raia wako. 28
  • @
    @rehemashabhay22054 years ago Molla akulinde na akupe afya rais wangu. Pambana sana molla yuko nawe. Unasema ukweli na uwazi, tuko pamoja nawe. Molla atakupa ushindituko juu wameanza kutuelewa. 28
  • @
    @husseinbenedicto6044 years ago Baba angu magufuli, umetokea wapi mbona sikuwahi kuota kama kuna mtanzania atakuja kutokea kama wewe, wewe inawezekana c mtz umeshushwa na mungu, una ukoo wa mtume na yesu. 11
  • @
    @falhiyerhermany7684 years ago Nakupendaga baba kukusikiliza maana unaongea kitu kinaeleweka na kinaonekana 2020. 29
  • @
    @lilianluhasi50534 years ago Hongera sana baba yetu na hotuba nzuri sana. 35
  • @
    @sebastiankanyelele46224 years ago Mheshimiwa magufuli wewe pekee ndiye rais wa nchi yetu. Mungu alikwisha kuchagua hata kabla sisi wananchi hatujapiga kura. Octoba tunakamilisha mpango huu wa mungu. Mungu baba akutangulie baba. 4
  • @
    @eliasernesti70824 years ago Asantee sana baba.
    nakuelewa mzee magufuli.
    28
  • @
    @roseesospeter17924 years ago Hata baba wa taifa alisema kiongozi bora hawezitoka nje na chama cha mapinduzi tunakuoenda mungu akulinde. 1
  • @
    @abdulswamaduathumani27914 years ago Akyamungu kinachonifanya niamini huyu mwamba jamani anaweza daah popote kazi huruma sana yani mpaka kero sana mungu mbariki sana rais wangu bora wa muda woote. 12
  • @
    @joramkimario26664 years ago Hyo siku kama baba yake angepitiliza hiyo dhambi sijui angekuj kumuambia nn mungu wake. Yaan anatoa madini had kuna watu naona wanakul kucha hapo. Ila kama kuna chadema hapa na anamkubali baba. Gonga tujuane. 10
  • @
    @stevenkaboku22084 years ago Tuko pamoja nawewe mh magufuli the chosen. 12
  • @
    @kekiplus1andonly4 years ago Astaghfirullah mungu aepushie mbali raisi wetu, hata usiseme ivo wakatikwa mola wetu ni kukuweka muda mrefu sana mtetezi wa wanyonge, sisi kama taifa na dunia nzima kwa ujumla. 30
  • @
    @jameskalolo77954 years ago Ukiwa na uhakika wa kuhudumia familia kama mzazi unaingia nyumbani kwako bila hofuu, ndicho ninachomuona nacho mtani wangu kijana wangu john p magufuli. 34
  • @
    @joelyngomuo74414 years ago Mungu akulinde na akuongoze katika ushindi mnono magufuli viva magufuli viva magufuli juu kama nyota juu zaidi. 1
  • @
    @shukranipaul54634 years ago Mungu akujalie baba wa kvazi maana tunao mabeberu wa nje na wandani hawa wandani ndo wabaya mno m. 27
  • @
    @ernestndonde24304 years ago Mweshimiwa magufuli wewe ni mkweli siku zote na mungu anapenda wasema kweli umepita baba bila kupigwa. 5
  • @
    @mariamayoub91184 years ago Mungu akulinde na akupe maisha marefu yenye amani na furaha tele, sichokagi kukusikiliza raisi wangu kipenzi cha wengi watanzania tunakupenda sana, kura yangu kwako baba. 1
  • @
    @esterkiyabo13294 years ago Mungu akutetee rais wetu mpendwa. Tuko pamoja nawe siku zote, kwani unatenda, na umetupatia heshima kubwa na kuturudishia utu wetu. Tulikuwa tumekuwa dampo la uchafu wa wazungu! Hatutaki kurudi huko tena. 6
  • @
    @morandraymond86024 years ago Kwako inawezekana ila wengine kazi kusifiya ulaya kujenga kwao awataki twende kiongozi wetu mungu yu pamoja nawe. 32
  • @
    @denicejoseph86324 years ago Km kwel ww n mtanza sahihi una ipenda nchi yak kwel.
    baba magu utakuwa unamwelewa vizur. Upinzani unakuja wap kwenye kutompa kura
    huyu ndy mmj ya sadaka yetu watanzania libya ya pili ni tanzania historia coming soon
    .
    ...Expand 4
  • @
    @estermpagama96644 years ago Hongera mh raisi wetu umependeza mungu akulinde tunakupenda kampeni tutazifanya umetutoa mbali umetuweka pazuri kura kwa magufuri ccm oyeee. 1
  • @
    @kichenjekichenje20724 years ago Mungu yuko pa1 na wewe, katk cku zote za maisha yko. 4
  • @
    @mosessinkwembe36154 years ago Piga kazi mzee tunakupenda sana kazi zako ccm hoyeee. 6
  • @
    @nisetameena92764 years ago Hutakufa baba mungu akulinde kwa jina la yesu. 9
  • @
    @chusseboywcb28084 years ago Mungu mbaliki magu apite tena kwani namkubali sana. 2
  • @
    @azizikeya83144 years ago Siyo miaka mitano tu tunafikiria kukuongezea mzee ww chapa kazi baba hakuna wakukufikia ww mzalendo wa kweli ccm oyeee. 30
  • @
    @teresaonduko44434 years ago Mtukufu rais kelele, vifijo nderemo, ama kweli wapendwa. Hata mie mkenya nakupenda kazi nzuri. 2
  • @
    @mrbayuali69164 years ago Wapinzani wasikutishe mhe raisi mm nakwambia unajua kwa sabbu gan umefanya maajabu katika maendeleo nchi nzima kuanzia afya. Miundo mbinu, elimu hadi uchumi uko juu. Mungu akupe afya tu. 16
  • @
    @doreenmuchunguzi93544 years ago Upande wapili watupumzishe kwanza mzee magu anatosha. 4
  • @
    @jkaaya36394 years ago Tunahimani na ww rais watanzania tunakupenda sana president wawa tanzania from uk. 2
  • @
    @elastomzena25704 years ago Honger sana mkuu kwa kaz zur ukoo wangu wote kura ni zako. 3
  • @
    @sofialinus82414 years ago Baba huyoo
    nakupenda sana raisi wangu mpendwa
    hakuna kama wewe
    acha waisome namba.
    10
  • @
    @francisnathan11204 years ago I' m very happy to president magufuli for his development in tanzania, so i' m francis from kenya? 4
  • @
    @frankmapunda89894 years ago Nini miaka mitano mingine, magufuli tunakuhitaji miaka yote ya maisha yako.
    maajabu uliyofanya mungu anakupokea peponi kabisa.
    2
  • @
    @Abalsashaame0884 years ago Watanzia wenzangu msije mkafanya makosa maguful anatosha. 32
  • @
    @dianadouglas90544 years ago Membe ushindi 0%
    lisu ushindi 1%
    j p m ushindi 99%
    52
  • @
    @simbalion28714 years ago Hali ni mbaya sana mtaani hakuna hela hakuna biashara mungu tupe baraka ktk maisha yetu. 2
  • @
    @azizikeya83144 years ago Tena asante yetu kwako ni kukupitisha kwa asilimia 99. 5. 10
  • @
    @denicejoseph86324 years ago Maneno yenye vitamin zot na yenye uzito
    wapinzani nahs tumbo joto uk.
    45
  • @
    @brightluvanda27954 years ago Asiye mpenda magufuli anamatatizo makubwa sana, tena atakuwa na bipolar disorder " " 40
  • @
    @maryhumphrey83434 years ago Safi sana babaa mungu akupe maisha marefu ulishapitaa huna tama wewe ni mzalendo umetufundisha uzalendo uliopotea umurudisha enzi za mwalimu nyerere id="hidden17" ndoto zake wew umetimiza mpaka natamani kuwa manasiasa kwa ajili yako unanikonga moyo nafurahi kusikiliza hotuba zako hazichoshi kusikiliza. ...Expand
  • @
    @britonndishi38374 years ago Hakika mzee magufuri ukimsema vibaya natamani nimmeze hakika mungu akulinde daima ktk kristo yesu amina.
  • @
    @kasumilikamilius13384 years ago Mheshimiwa rais magufuli wananchi wa tanzania tunapendekeza utawale miaka ishilini tunaomba mheshimiwa usipinge pendekezo letu asante. 1
  • @
    @mohamedkutwambi4 years ago Siku zote namwomba mungu akubariki sana, ww ndo kioo cha watanzania,
  • @
    @simonmwangi32794 years ago Sisi africa tunasema ni maghufuli raisi wetu. 3
  • @
    @yusuphaman34494 years ago Mzee wangu una aja ya kupiga kampeni umeeshapita baba. 8
  • @
    @jafaribori6014 years ago Baba mimi nashuka hapo tz kujakupiga kura na nipo radhi nilale kwenye foleni na notabeba chakula kabisa siku ya kupiga kura tena sitaki mchezo, mungu atuongoze atupe afya na uzima in sha allah. 1
  • @
    @danielchales48204 years ago Asante sana mweshimiwa sisi tunakuamini najua utakuwa na sisi hata wajasilia mali wadogo na tusipo sumbuliwa ndani ya miaka kumi mbele tutakuwa na sisi kwenye uchumi wa kati.
  • @
    @cosmalasway5444 years ago Cha msingi tuhamasishe watu kujitokeza kwa wingi tukapige kura kumchagua siku ya tarehe 28/10/2020. 3
  • @
    @Mike-yg7pb4 years ago Yaani magu anahuruma na utu sana aisee huyu mtu huyu mungu aendelee tu kumshika mkono. 13
  • @
    @earnestkaji24 years ago Naonakuchechemea kwanza umsubiri kamanda magu achape kazi. 12
  • @
    @guycalifat44264 years ago Tundu lissu pole baba apo kwa uncle magu utasubir sana. 32
  • @
    @abbyjustine79064 years ago Yes we can, we will and we must. Wengine waliwezaji? 11
  • @
    @kwisa48994 years ago Ccm wame umprove sana kwene siasa za kisomi hizi. 37
  • @
    @BigZhumbe4 years ago Nitafurahi sana after 5yrs anko magu achukue form tena. Patachimbika. 1
  • @
    @josephjuma62424 years ago Dhamira yangu yawezekana tanzania kuwa kama nchi za ulaya joseph kutoka magharibi mwa kenya. 9
  • @
    @stanleyfocas82504 years ago Begi ilo begi ilo begi baba wewe ndo wewe hakuna mwengine. 23
  • @
    @zawadigongo94954 years ago Hakika wewe ndiye raisi tunayekupenda hongera raisi wangu magufuli kwa kazi nzuri, japo mimi ni chadema.
  • @
    @jacksonkayanda4554 years ago Ninacho kupendea utakacho ahidi utakitekeleza hupendagi kusema uongo hata. Na haya unayo yasema tanzania kweli kufika 2025 itakuwa ulaya. 49
  • @
    @Abalsashaame0884 years ago Nakuomba allah mwingi wa rehama mwenyewe kurehem magufuli ashide kwa kishindo haijawah kutokea. 16
  • @
    @whatisthetruth.87934 years ago Hii ndio hotuba mgombea uraisi, hotuba aliyojaa matumaini, shauku, hotuba inayosafisha na kutuliza roho ya mtu. Long life magu, viva africa our home land forever, god bless africa and african amen.
  • @
    @hassanmsipi40944 years ago Baba sijawahi kukukataa,
    huwezi kuijua neema hadi ikuondokee, {namuona gaddafi ndani yake raisi wetu}.
    3