Comments - 101
  • @
    @aishadjumaphones88773 years ago Nime furayi kusikia ume tutaja burundi mungu akujalie akupe umli mulef utimize malengo yako inshaallah. 4
  • @
    @paidenasra45483 years ago Ongera sana fred. Nimeiba jina lako la vunja bei nimeandika kwenye genge langu uku mozambique. 3
  • @
    @sharinv88643 years ago Baba level haha umetengeza usiku wangu shikia hapo kaka watu wanakudharau nawewe unaendelea mbele. 6
  • @
    @christabella2413 years ago Safi san kbsa ni mwelevu kumbe hivo fred vunja beyi. 7
  • @
    @Sppah6973 years ago Baba levo hiyo style ya nywele imekuww unic imeekuwa ndo identity ysko! 3
  • @
    @jossyjosphin25873 years ago Yeeyy. Watu wa deco kutoka nrb kenya. Oye.
  • @
    @sweet16honey753 years ago Mimi napenda baba levo huwa asemi uwongo ana mwagaa wazi. 2
  • @
    @07129399733 years ago Huyu mwamba namkubali sana anajiamini akiongea yan hua napenda sana interviews zake. 3
  • @
    @valenakomba44533 years ago Watanzania walikuwa wamelala jamani, sasa ndo wameamuka. Eh, asante mungu. 1
  • @
    @Gift-cx1uo3 years ago Ila baba levo me nakupendaga coz sio muongo na unajua kushukuru. 4
  • @
    @zou74703 years ago Ila baba levo we nikituko kwakwel but huwa unanivunja mbavu. 3
  • @
    @aminanamoyo833 years ago Fred unani inspired sana huyo kaka huko nyuma ya fred ni bodyguard au mpambe nimeuliza maana naona anasinzia sijawahi ona bodyguard anasinzia. 6
  • @
    @mandyuwimana77353 years ago Sisi tume isha elewa sanaa. Hamisa uko na vunja bei sawa? Ishi maishq yako bilq uwoga. Sio ikuwd mugu umoja ndani ungine inje. Kwa mond uliza ibqki story awo sio! Muache kutu changanya. 4
  • @
    @rhoidakippa1633 years ago Carrymastory naomba unisaidie nataka kumuona vunja bei jamanii.
  • @
    @sabinaonline65753 years ago Duu keeli wcb waongo huyo baba levo kea mbwembwe zote zile za gari alafu kapokonywa anasigizia eti kauza bonge la muvi. 1
  • @
    @fredmabeya3 years ago Watu wa decor hutoka nairobi? Kweli wakenya tuko mbele in decor designs. 2
  • @
    @wivinemwamini91103 years ago Hamisanayehana bahati warigombania nini vituyadunia tuta acha hapa.
  • @
    @sakinaabdallah77133 years ago You have to be carreful nahuyu babalevo kwani hizo ndo fitna kubwa. 1
  • @
    @rozeypwizzy64723 years ago Vunja bei namkubal sana interview zake. 1
  • @
    @christabella2413 years ago Mbona hukumuuliza kuusu mahusiano yake na hamissa mobeto. 1
  • @
    @marynderu98463 years ago Aky fred nawezakumeza ukae kwa tumbo yangu, kwa hiyo story ya babalevo umeongea kimwaname.
  • @
    @nadrahassan52413 years ago Sasa vitu vyake whozu una muuliza hamisa.
  • @
    @matingatwaha14393 years ago Bauns kalewa huyo anatakiwa afukuzwe kaz.
  • @
    @kobajumakuziwa99763 years ago Du pepsi wakiona mnatangazia cocacola mtawalipa.
  • @
    @naimaislam5523 years ago Yani baba levo hudanganyagi
    nachekaga tu.
    3
  • @
    @IsaacParuz3 years ago Mtangaji una sauti kama ya lily ommy kama una malengo ya kufika mbali sana basi jitafte maana ule ni moto mwingine. 1
  • @
    @rizikiabdalla33083 years ago Baba levoo unapenda vya kupewa na wanaume wezio.
  • @
    @estherminnahboaz69563 years ago Chakuchekesha gmodol na rich mitindo wote wamemla wolper na hawana habari.
  • @
    @achawanunetv11673 years ago Kondeboy jeshi ndie msanii mkubwa in tanzania kwa sasa kwasababu yeye ndie anaitangaza nchi yetu kimataifa kupitia mziki mzuri anaoufanya. 5
  • @
    @rhoidakippa1633 years ago Jamani mie nipo ruvuma lkn nawaombeni waandishi mnisaidie nataka mimuone uso kwa uso vunja bei.