Wimbo huu umeimbwa na Sehemu ya Wanakwaya wa Mt Don Bosco katika Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji NIT (WAHITIMU).
GRACIA SINGERS ni Kikundi cha Wahitimu katika Fani Mbalimbali, waliohitimu Masomo yao hapo Chuoni kwa Miaka Tofauti.
WIMBO: BWANA AMEJAA HURUMA
MTUNZI: JOHN MGANDU
WAIMBAJI: GRACIA SINGERS
AUDIO: HOLY TRINITY STUDIOS
VIDEO: HOLY TRINITY STUDIOS