#Sebuleni #ZaidiNaZaidi
Je, kuna changamoto zozote zinazotokana na unyonyeshaji kwa wakina Mama kiasi kinachopelekea baadhi ya wanawake kutowanyonyesha watoto wao ipasavyo?
Usikose kutazama Sebuleni Alhamisi hii na Gift Swai & Kevin Lameck LIVE on DStv channel namba 294 kuanzia saa 1 hadi saa 4 kamili za asubuhi tukiwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya wanawake nchini akitupitisha kwenye hili.
Category
Show more
Comments - 1
Related videos for ATHARI ZA KIPINDI CHA UNYONYESHAJI: