Duration 2:25

Waandalizi wa mbio za magari za Safari Rally waendeleza upanzi wa miti katika kaunti ya Kisumu,

127 watched
0
0
Published 3 Jun 2021

Waandalizi wa mbio za dunia za magari za Safari Rally leo waliendeleza upanzi wa miti katika hafla fupi iliyoandaliwa katika taasisi wa utafiti wa sukari katika kaunti ya Kisumu, huku wakinuia kupanda miti elfu tano karibu na mto Kibos. Kinara wa mradi wa kustawisha misitu Ivy Kaburu amesema mradi huo ni mojawapo wa miradi inayonuia kupanda miti milioni 19 katika kipindi cha miaka mitatu ili kusheherekea kurejea kwa mbio za WRC Safari Rally humu nchini baada ya miaka 19…UPS. Kufikia sasa mradi huo umesimamia upanzi wa miti elfu 655.…UPS BK (IVY/ORIMBA). Mbio za dunia za WRC Safari Rally zinarejea humu nchini baada ya miaka 19 na zitaandaliwa mjini Naivasha kuanzia Juni 24 hadi Juni 27 mwezi huu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #Football

Category

Show more

Comments - 0