Duration 4:55

MAHAKAMA KUU yaukataa WOSIA uliodaiwa kuandikwa na MENGI, FAMILIA yashinda KESI ya mirathi

51 148 watched
0
480
Published 20 May 2021

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeukataa wosia uliokuwa ukidaiwa kuandikwa na aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Reginald Mengi pamoja na mambo mengine ikieleza kuwa haukidhi matakwa ya kisheria ili kuwa wosia halali

Category

Show more

Comments - 234