Duration 31:40

BREAKING: KATIBU wa BAVICHA Ajiondoa CHADEMA, Hii ni KAMPUNI Binafsi

229 815 watched
0
967
Published 26 Feb 2020

#LIVE: KATIBU WA BAVICHA ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI EDWARD SIMBEYE Aliyekuwa Katibu Mwenezi BAVICHA 204 -2019 anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mambo mbalimbali yanayoendelea ndani ya chama hicho huku akimlaumu mweneykiti wa Chama hicho kuwakandamiza baadhi ya viongozi wa chama hicho pamoja na matumizi ya Lugha ya matusi iliyopelekea wengi wao kukihama chama hicho na kuongeza kuwaChama kimepoteza malengo. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 1200