Duration 27:34

LEMUTUZ:DIAMOND NA ZARI WATARUDIANA MTAAIBIKA/MANGEKIMAMBI/CONNECTION ILIYOVUJA/KIBAMIA/VIFUA VIKUBW

16 591 watched
0
174
Published 23 Jun 2020

KING OF ALL SOCIAL MEDIA, Lemutuz amefunguka mambo mengi yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kiwemo Zari kurudiana na Diamond na , Nay wa Mitego na Bdoze kuhama Clouds.

Category

Show more

Comments - 60
  • @
    @mwajumachao91514 years ago Napenda majibu yko i' m in love with your sound. 5
  • @
    @rahabnyambura6884 years ago Don' t understand why most of this tanzania females can' t zari be, tiffah got confidence not afraid of the camera. Let zari be her kids her choice of raising her. 1
  • @
    @shodristvtv61214 years ago Nakukukubali le mubebezi njoo unichuemimi. 2
  • @
    @maggiemamaafricaofficial70804 years ago I like the way you answer the questions bro. 7
  • @
    @djdj3urj884 years ago Wee kaka nakukubali sana majibu yako yote bigap. 2
  • @
    @maryamtanzania9743last year Nimemjua baada yakufa ila nikampenda sana alikuwa na utani mwingi.
  • @
    @nurathissa14224 years ago Limutuz nakukubali hutafuni maneno unaongea ukweli. 1
  • @
    @inathimid99794 years ago Jamani nafeli wapi mmi mbona mmi nina vigezo vyote anavyo vitaka.
  • @
    @fatmaomaomar15144 years ago The corona thing, it was ugly yani inatisha sanaa sawa babaz. 2
  • @
    @aisha-ro5fr4 years ago Watuwalio ishi marekani bna wanakua wanaakili kma wamarekani ila awa matopolo wa tanzania wanapenda vitu vyakipuuzi sanaa kaka unaongea kama mlami fact tupuu niqqah. 1
  • @
    @deeruta98944 years ago Kachelewa huyo ama ako na kasoro flani.
  • @
    @khalekichambo11314 years ago Nilikusahau leperson ulijifichia wapi?
  • @
    @Vince-kw9hu4 years ago Watanzania wako past corona season na kenya tunaumia na lockdown. 5
  • @
    @salmazaidalabrawi37234 years ago Mbona mkaka ana wasi hapo alipo vipi tena mtangazaji.
  • @
    @videlialabeka48994 years ago Pia carrymastory na zari ni kiki
    ona vile wameongeza views.
    2
  • @
    @zeddybass66724 years ago Ukiwa kibonge harafu una kitambi lazima mkeo wakusaidie aisee
    maana kitambi huwa kinatangulia kabla hujafika.
    5
  • @
    @sumayahfathi94134 years ago Ulikuwaga wapi? Sasa huyu tulisha msahau kawa mzee mno, nilazima uwapende warefu wewe mwenyewe shortutafute mabebe warefu, wakirudiana hy sio biashara yetu, 1
  • @
    @fatmaomar84974 years ago Nani atakae aibika. Labda zari ndio atakaeaibika. Maana alitangaza kwenye vyombo vyaaliomba mungu tanasha akataliwe arudi kwa hatutoona haya. Zari ndio yeye. Kwakutaka nini. Zari hana mpya. ...Expand
  • @
    @deega12344 years ago His dad got married when 70 years old? How old is this guy? So his dad is around 110 to 120 years old? Unless he had him without marriage. 5
  • @
    @azizisaidy85534 years ago Yani nyinyi wasenge ndo mnao fanya diamond anasemwa vibaya mbona mnapenda kumtaja taja kwenye kila interview sijui mna nini aise mxie. 3
  • @
    @kekiplus1andonly4 years ago Jamani kwa kifupi tu watu muachane na maisha ya watu.
  • @
    @bundukitv13224 years ago Sehemu ya 4 (Simulizi ya Yusufu). aliyepitia magumi alipokuwa TEJA
  • @
    @susansamson10994 years ago Mazoezi gani aliokuwa akifanya zamani. Kwenda kupiga picha gym nikufanya mazaezi. 1
  • @
    @asiajuma83304 years ago Naona aibu mm sa hiyo ndio baba ako mzazi eti mtindi.
  • @
    @michelinemapendo66524 years ago Ujupumbavu wa machafu ametokeya wapiuyu muchezi, kichwa kama bombe. 1
  • @
    @nasrathyusuph39644 years ago Vyote ulivoongea upuuzi n kumlunganisha alikiba na hao kina harmonize alikiba no king of good music na co music tu.
  • @
    @fatmaomar84974 years ago Nani atakae aibika. Labda zari ndio atakaeaibika. Maana alitangaza kwenye vyombo vyaaliomba mungu tanasha akataliwe arudi kwa hatutoona haya. Zari ndio yeye. Kwakutaka nini. Zari hana mpya. ...Expand