Duration 29:47

ZAO LA SOYA NA FAIDA UTAKAZO PATA/ MKUTANO MKUU WA WANA HISA/ BATCH NO2 YA MIFUGO LACHANGAMKIWA.

1 163 watched
0
16
Published 17 Dec 2021

Kipindi hiki cha AMKA NASI ni maalum kabisa kwaajili ya kukujuza maswala mbalimbali yanayofanywa ndani ya JATU PLC ikiwemo MIRADI mikubwa inayoendeshwa na kampuni hii lakini pia utafahamu Bei ya Hisa kutoka katika soko la Hisa la DSE, Bei ya mashamba kukodi na kununua,Bei ya bidhaa kulingana na mikoa ya Dar es Salaam, Mtwara, Dodoma, Arusha, Mwanza, na bei ya mifugo. Piga Simu 0758396767

Category

Show more

Comments - 1