Duration 3:4

SIRI YAFICHUKA UKWELI WOTE KUHUSU LULU DIVA KUMJENGEA NYUMBA MAMA YAKE WAANIKWA ITAKUTOA MACHOZI

294 463 watched
0
1.7 K
Published 23 Dec 2021

#LULUDIVA #NYUMBA #MAMALULUDIVA SIRI YAFICHUKA UKWELI WOTE KUHUSU LULU DIVA KUMJENGEA NYUMBA MAMA YAKE WAANIKWAITAKUTOA MACHOZI ITAKUTOA MACHOZI MANENO YA MWISHO YA LULU DIVA KABLA MAMA YAKE KUZIKWA NAOMBA MUMUOMBEE Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, hatimae Ndugu, Jamaa na Marafiki wa karibu wa Familia ya Msanii #luludivatz wameshiriki kikamilifu katika kumpumzisha Mama Lulu katika makazi yake ya milele huko Muheza Mkoani Tanga. KINACHO ENDELEA MSIBANI MUHEZA KWA MAMA LULU DIVA KAKA WA MAREHEMU AFUNGUKA MASTAA WAJITOKEZA WINGI WASANII WAUNGANA NA LULU DIVA MSIBANI WAMPA POLE MSIBA WA MAMA YAKE,DIAMOND,WEMA,FAHYVANNY,BABU TALE WASANII WAUNGANA NA LULU DIVA MSIBANI WAMPA POLE MSIBA WA MAMA YAKE,DIAMOND MAMA DANGOTE WEMA FAHYVANNY TANZIA: MAMA MZAZI WA LULU DIVA AFARIKI DUNIA Star Wa Muziki Nchini 🇹🇿 #luludivatz Amepata Pigo Zito Baada Ya Kumpoteza Mama Yake Mzazi Mama Mzazi Wa Star Huyu Amefariki Dunia Leo Dec 19, 2021 baada ya Kuugua Kwa Muda Mrefu. Ndizi Media Tunatoa Pole Kwa #luludivatz Pamoja na Familia, Ndugu, Jamaa Na Marafiki Katika Kipindi Hiki Kigumu #TANZIA #LULUDIVA #MAMAMZAZIWALULUDIVA LULU DIVA afiwa na MAMA YAKE, miezi 2 na nusu baada ya Birthday yake, amekuwa kitandani kwa MIAKA 5 TAARIFA MBAYA MAMA MZAZI WA LULU DIVA AFARIKI DUNIA CHANZO CHA KIFO CHATAJWA Duuh! DIAMOND aguswa na msiba wa mama yake LULU DIVA afunguka haya,wengi wamelizwa na msiba huu,tazama #LuluDiva Hali ilivyo msibani kwa mama yake LULU DIVA, mastaa wengi wajitokeza kuomboleza VILIO VIMETAWALA! Kinachoendelea Kwa Lulu Diva Sahivi Nyumbani Kwake Msiba Unapofanyika, Ni Huruma LULU DIVA APATA PIGO KUBWA/ MAMA YAKE MZAZI AFARIKI DUNIA/AMEUGUA KWA MIAKA MITANO BILA KUTEMBEA UTAMWAGA CHOZI! Lulu Diva Amefiwa Na Mama Yake Mikononi Mwake, Utalia Sana, Inatia Huzuni MSIBANI kwa MAMA LULU DIVA: MASTAA WAFURIKA BABU TALE, STEVE NYERERE, WOLPER, Wafika KUMFARIJI LULU DIVA Aongea kwa Uchungu Msibani Tanga | Awaomba Watu Kumsamehe na Kumuombea Mama yake LULU DIVA awaliza watu kwenye mazishi ya mama yake baada ya kuongea kwa uchungu maneno haya. Maneno ya Luludiva msibani kwa mama yake LULU DIVA Aliza Watu Msibani | Maneno Mazito ,Watu Waanguka Akosa Nguvu Kabisa LULU DIVA Aongea maneno haya kwa UCHUNGU kwenye MAZISHI ya mama yake mzazi MANENO YA MWISHO YA LULU DIVA KABLA YA MWILI WA MAMA YAKE KUINGIZWA KABURINI/ YATAKUTOA MACHOZI msiba wa mama lulu diva MSIBANI KWA MAMA LULUDIVA JUMA LOKOLE NA GARAB WAMLILIA MAMA WAKISEMA LULU ALIKUWA AKIMTAJA MAMA TU. ... Nandy, Idris Sultan na mastaa wengine wa bongo walivyofika katika msiba wa mama yake Luludiva ....Zuchu, Mama Dangote na Malkia Karen kwenye msiba wa Mama Lulu Diva. X Wa LULU DIVA ,BAGA KONK Afunguka MAMA LULU Alinipenda Sana | LULU DIVA Hana Mtoto ,Nilimuuguza

Category

Show more

Comments - 283
  • @
    @mmhmedia83753 years ago Safi sana makala nzuri Bora mana watu wanapenda maneno 77
  • @
    @maryamanalisi1973 years ago Yani wee kaka Allah akuzidishie ukarimu maana nliumia sana kwa maneno ambayo watu walianza kusema kabla hata mama hajpumzishwa kwenye nyumba yake ya milele yani alhamdhulillah alhamdhulillah🙏 😭😭😭😭 13
  • @
    @vickykapama83863 years ago Huyu binti Lulu amejizolea baraka zote kutoka kwa mama yk. Sasa waja wenyekuzoea kukosoa, msubiri tu muone jinsi MILANGO YA BARAKA ITAKAVYOJIFUNGUA KWA LULU! Maana kakamilisha amri ya Mwenyenzi Mungu kwamba baraka yk iko kwenye Nyayo ya Mguu wa mzazi wk. 🙏 ... 24
  • @
    @lovenessaron26693 years ago Mimi sikuwa shabiki wa Lulu Diva kila nilipo ona namna alivyo kuwa ana mpambania Mama yk Hakika huyu Dada Baraka tele na zimiminike kwake,Amenikumbusha Mwaka 1998 Nilipo achiwa jukumu la kumuuguza Mama yangu,Nikiwa bado ni binti mdogo sn,Ndugu zangu walikuwa kwenye majukumu ya kiofisi,ila walinipa sapoti ya kifedha,Kazi yangu ilikuwa ni kumuigesha mama,kumlisha na mengineyo ndani ya miez 3 hivi, Lakini watu walinisifu walisema,wee binti mdogo km wewe,Umeng'ang'ana na mma yk,km mbwa anavyo ng'ang'ana mfupa wa nyama, hongera sn binti mdogo,Je lulu diva miaka karibu 9 huko daah! Mungu afungue milango ya baraka juu maisha yake, Ameen 🙏 ... 64
  • @
    @nellyflo97363 years ago 🤦🏻🤦🏻This is true definition of true love between.Mama & Daughter.😍💘all Mungu ampee nguvu lulu.🇰🇪👌🏼 13
  • @
    @OmanOman-ky2oo3 years ago Nimependa sana hii nakala wamezidi kumsema lulu kajenga nyumba ya peponi kwa kumlea mama ake mwanga wanutu umuangazie mama etu🤲🤲🤲 5
  • @
    @dama49953 years ago Wallai watu wanapenda kuhumu binadamu wenzao kana kwamba hao niwakamilifu sana na wote walioongea vibaya kuhusu Lulu Mungu awaadhibu maana sio vizur nakupenda lulu maixha uliopitia nmfano wa kungwq mpenzi tia nta kwenye maskio ombea mama dua na maisha yko mungu aweze kukupa wepesi maaishan mwako maana hta hvyoo kuondoka kwa mama sio mwisho wamaixha kunamaixha bdo so focus my dear na baraka za mama zitazidi kukuandama MUNGU AKUTIE NGUVU MPENZI 🙏🙏🙏🙏 ... 24
  • @
    @furahanyamba3713 years ago Kwakweli hata Mimi nimelia sana nimezaliwa pekee yangu kama luludiva Leo hii wanamsema
    Vibaya na lulu alimchukua mamaake mungu akubariki sana mpweke mwezangu
    1
  • @
    @shadyahamad37243 years ago Maneno kuntu lulu kafanya la maana kwa mama ake kuliko kujenga iyo nyumba mwenyez mungu ambariki lulu❤👏👏👏 2
  • @
    @saumusulaiman47423 years ago Bora!Uwaambie waelew maana watu wanajua kuropoka tu!! Lkn baraka nyng kazipata hy dada kupitia mitihan ya mama ake ya kumuuguza!!!mng! Akupe my huo dada wa huruma!ameen!!🌹🙏 10
  • @
    @khadijatabu5783 years ago Kweli kabisa hata mimi niko na miaka 6 ughaibuni ila nimeshindwa hata na kujenga kwani tulizaliwa wawili na mdogo wangu yupo shule mamangu hakubahatika ndoa na ni mgonjwa zaidi ya miaka 7 nahangaika kumtibia na mdogo wangu asome yani kwakweli huyu dada kapata pigo sana namuombeya sana maaana mungu yuko na sababu Allah akupe subra lulu imani yako mungu atakufungulia inshallah ... 5
  • @
    @rukkysayid66133 years ago Makala mzr sana kwa wenye ufahamu watafahamu bora utu kuliko kitu👏👏👏👏 4
  • @
    @maryberege30933 years ago Mungu akubariki kwa makala nzuri iliyojaa ujumbe wa kumtia nguvu lulu diva. Hakika nyumba na magari ni vya kupita tu lakini utu ni kila kitu ktk dunia. Rip mama lulu diva 9
  • @
    @sabraaally32563 years ago Nimejikuta nalia sanaa mimi jamn duh😭😭😭😭😭 lulu mungu ampe umri mrefu sanaaa🤲 14
  • @
    @najmaaa65483 years ago Mashallah dadaa lulu diva mungu yupo moja nae dadangu hkuna ktu vizuri kama kufanyia wazazi wema pongezi dadaa😘😘💞 2
  • @
    @salomesinkonde833 years ago Alaaniwe aliyesema kuhusu.kujenga hana akili kabisa huyu mtu ivi watu tukoje jmn😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭haani baada ya kwenda kuzika mtu unatazama nyumbn ivi huu si upungufu wa utu jamn nimeumia san da . Asante san kwa kukanusha jambo hilo ... 3
  • @
    @kellyngogo33193 years ago Ameen 🙏🏾 Mungu Ambariki sana huyu binti na Mungu Atampa THAWABU KUBWA 9
  • @
    @rehemavickie65213 years ago Lulu pole dear! Nakupenda. Mungu akufungulie milango ya baraka 1
  • @
    @jestinamagembe21253 years ago Hakika umeongea point...kaz kuchunguza maisha ya mtu na sio kilichowapeleka msiban 2
  • @
    @sophiamaembe24753 years ago Binadamu watafika mbingin wamechoka sana,,, mama yake alikuwa anaUMwa kwahiyo aache kununua dawa aanze kujenga nyumba😓😓😓 mungu anawaona lulu wewe ni mwanamke wa shoka achana na hao wasio na maana😅 12
  • @
    @ashuramhando52853 years ago Allah ampe nguvu na Moyo alonao Lulu InshaAllah 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 1
  • @
    @dotnatajoseph26203 years ago Nimeipenda Sana hii makara mungu akubariki kwa kuliona hili kwa Lulu 😭😭😭😭 alichokivuna ni kikubwa Sana kwa mama yake nyumba magar vyote vya kupita 1
  • @
    @hadijajohn74343 years ago Kweli kabisa LULu ni shujaa mpiganaji hakika baraka za mama umezivuna hongera sana mbakishe akiba za maneno kumsema LULU kweli kuna watu wengine bora aweke heshima. Baa kunywa pombe lakin wazazi wanateketea aidha maradhi au njaa hongera LuLu.kwa kumstiri mama hiyo ndio heshima ya mama hata kama amenda mbele tahaki lakini ameona mwanae ni mpiganaji alipigania uhai wake pole sana LULU
    i .
    ...
    6
  • @
    @waheedahtanzania49123 years ago Swadakta ❤️ mungu ampe kauli thabiti mama yetu maskini Allahumma ighfirlahu warhamhuu waskanhuu fii janna 😭👏 lulu Mmhu mungu akupe subra katika kipindi hiki kigumu 8
  • @
    @txuboy26673 years ago Usilorijua bc ni sw na ucku wa gza tuluia tu cster lulu nakupnd sana
    ❤️S14❤️
  • @
    @amidabukuru3 years ago Watu wanapenda kuongea yasowahusu lulu diva yuko vizuri mungu ampe subra hakuna kama mama ingera sana kwakumuuguza mzazi wako nakuanae karibunae wapo wengi wenye wakiona wazazi wao wako hivo wanakimbiaga wa mama zawo umepata baraka yamzazi wako ... 1
  • @
    @chikuabdallah99503 years ago Yan we kaka nimekupenda sana umenisaidia wananikera hao wanao msema lulu ujuwe
  • @
    @edinapastory22083 years ago Asante kwa makala nzuri sana kiukweli nimefarijika sana maana waja maneno mengi. Nakupenda shujaa wangu lulu wew ni mshindi
  • @
    @zaiiomary89703 years ago Hao wote wanao mkosoa da LuLu je wao wamejenga huko vijijni kwao wanaishi mijengo ya kupanga
  • @
    @edithlungaho80663 years ago I support lulu I feel that gap for lulu me here am taking care my mum,, I really feel wen it comes for the matter mimi nimea fanya kazi for long time and am getting gd money bt my all money I give it to my parents 1
  • @
    @rosemuhazi95423 years ago Inauma sana usiombe ya kukute mm yalinipata kama hayo lkn mum alikua kweke asente sana ndugu nimependa mazunngumunzo yako be blessed
  • @
    @janeroselusuva85203 years ago Mungu akubariki sana umenifanya nitabasamu niliumia mno kwa maneno ya wasiojitambua badala ya kumpa faraja wanamsakama bila kujali wakati mgumu anaoupitia. Mungu awasamehe hawajui walitendalo.
  • @
    @s0phialwassa5742 years ago Umeongea vizuri sana kaka, ingefaa nini kumjengea mamake nyumba wakati ni mgonjwa vile gharama zimetumika kwa matibabu , baadhi ya sisi watanzania ni washamba watanzania ni
  • @
    @janechacky38103 years ago Barikiwa sana Lulu nawe mtayarishaji wa makala hii asante sana. Watu wapenda sana kuchonga.
  • @
    @aairraahseif56483 years ago Sadakta,big up sana broo,mungu akubariki sana,umeongea kile kilicho kuwa kikinikera moyo wangu,shukurani kutuwakilisha wengi tulio na mtazamo wa ukweli wa utofauti kama wako 🙏🙏🙏naomba hii uifanye kila inapo wezekana kwa muda muafaka na sahihi,binadamu tumezidi midomo na kukosa huruma na imani,bora afya njema,alicho kifanya Lulu ni kikubwa amejenga nyumba yake peponi na siyo Duniani, Dunia ni sehemu ya kutufunza na kushinda mitihani ya sheitani,ukibarikiwa kufanya mema Alhamdulillah,wangapi wanamali majumba na pesa na hawawathamini wazazi wao!wapo wanao penda zaidi baraka za sheitani anasa za kidunia kuliko baraka na radhi za mama zao ... 1
  • @
    @tabuyahya64813 years ago Ni kweli kabisa hata mm cjapenda kabisa watu wanavyozusha Mambo ya kinafki hayo kwani kikubwa kamhudumia Mama mzazi Hadi kifo chale wakati wengine wanawakana mama zao kweupee kabisa pole sana Lulu diva una radhi zote za mama kumhudumia hadi umati kumtika Inshaallah Apunzike sallama ...
  • @
    @fzafza67463 years ago Mimi nampenda sana lulu Na Wema Sepetu na Zuchu ni watu ambao wanawapenda sana wazazi wao bila ya kujali lolote Tena lulu wema ni watu hawataki mchezo kabisaa na wazee wao napenda sana Mimi Namna hii Kuna watu wengi Leo hii hawajali wazazi wao na wapo na uwezo Tena huyu dada lulu ni mtu ambae ana cheo kikubwa Kwa mungu nyie hamjui tuu Acheni poyoyoo ...
  • @
    @wardeeswai7163 years ago Innalillahi wainaillah rajhuun lulu kafanya makubwa na mungu ampenguvu na akupe thawabu kwa kuchukuwa baraka kwa mama 😭😭 1
  • @
    @mwajumakweli67743 years ago Kazi nnzuri sana yani nashindwa ata nikupe nini kwa kweli ata mimi nimeumizwa sana na wajinga wasio kuwa na huruma wallah natamani unitumie Whatsapp
  • @
    @alleyjuniourtz73743 years ago No matter what you do people will find the reason to criticize you,,,,,mnapomuhukum mtu msiangalie mabaya yake tu kumbukeni na men's aliyoyafanya jmn acheni urofa ninyi mbwa koko mnaolopokalopoka 😭😭 7
  • @
    @aishaomar96213 years ago Pole sana Allah akupe subra na Imani my sister
  • @
    @evalineedwardsuzanne98623 years ago Hongera sana lulu ww nbiti wa nguvu sana safi sana💪💪💪mama 1
  • @
    @zahrasalim55333 years ago Allah akuifathi lulu diva Una radhi ya mama allhamndulilah
  • @
    @annaanyosisye86823 years ago Kweli kabisaaaaa,Mungu akubariki Lulu divaa💖💖💖💖 1
  • @
    @sharmelasaif473 years ago Hongera. Mtangazaji waja niwanafiki kama waoo wanayafanya huko makwao h
  • @
    @ashaa48963 years ago Pole dada kwa kumpoteza mama mungu akutie nguvu katika kipindi iki kigumu
  • @
    @hadijajohn74343 years ago Wengine wanao msema lulu wapo..dar lakini hawajawahihi hata.kumwambia mzazi njoo mjini anaona aibu ni mzazi wako tuu hongera sana LULU Wa TANZANI kuongea ni jadi yao na rokho za wivu 1
  • @
    @emanueltheboss65983 years ago Yan MUNGU atusamehe maan maneno yamekuwa mengi
  • @
    @auntmakochela42023 years ago Kweli kabisa alichokifanya huyu dada anastaili kuigwa mungu amjazie palipo pungua pia ni wakati sasa wa kuwatazama waliobakia mungu atakuzidishia lulu pole sana mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu
  • @
    @zooz67623 years ago Lulu ni mtoto wamaana mungu atakulipa inshala lulu pole sana 💖
  • @
    @ashurajuma90863 years ago nimekuelewa sana ..wajifunze kupitia hili ,,pole sana lulu 2
  • @
    @tamashanyerere14483 years ago Tena kuna wengine wanashinda kwa waganga wanasema wazazi wak wamewaroga wanapewa mavitu wanaendatupa kwao wazazi wanaumwa ndy wao huwaacha na kuwacheka wanafurahisha waganga na marafiki
  • @
    @jeangodelo53493 years ago Ni kweli kabisa, Mungu akutie nguvu Lulu yanayoongelewa yasikukatishe tamaa, pole sana na hongera kwa ujasiri
  • @
    @harunambwera41523 years ago Kwanza utu kitu badae lulu wewe ni shujaa 👍👍
  • @
    @fatmabazhee7973 years ago Umepambana vilivyo na kipenzi mama jaza yako iko kwa Mungu
  • @
    @shamsakiobia64212 years ago Huyu binr kajitahidi sana pole lulu diva
  • @
    @missmoona44973 years ago Saf kabisa nimependa hiyo hata mm nikajenge nyumban kwa bib yangu wakat ana watt na waijukuu rukuki nina kichaaa?kama nyiny mwajua sana kesema kajengen huko kweny familia zenu maana maisha yetu ya kitanzania yanaeleweka na yanafanana fanana so lip jipya hapo? Achen uhanangwa kufuatilia maisha ya watu ...
  • @
    @ashuraumari13223 years ago Sasa angemjengea iyo nyumba ndo angeenda nayo kabulini waja waishiwi maneno Bola lulu mama ana kinyongo na wewe umepata pepo ya mama muombe Allah akujaalie mema
  • @
    @saudangalleni3883 years ago Pole lulu Mung amlaze pema pepon mama yetu
  • @
    @uuuuiiii39173 years ago Waja wambea kweli Ila Mie nilitambua hili kwamba hao wanaeoenda kuzika awaendi kuzika wanqfata umbeatu nakumchunguza maisha yawatu yy mtt wapekee anakaka wala dada mama Ake mgonjwa ache kumuudumia mgonjwa ajenge nyumba kweli na halibya mama yake sio nzuli Kiafya jmn ambu acheni mama yasiokuwa nakichwa walamidomo khaa waja kweli mnamambo😭 ... 2
  • @
    @maimunaabdalla71463 years ago Lulu sasa MUNGU akikupa kizazi zaa dada usipange uzazi hao watoto utakal wazaa ndo watskua ndugu zako🇰🇪🇰🇪
  • @
    @bisurasalim91453 years ago Hawajitambui hao. Asante kwa nakala hiyo
  • @
    @rehemashomary47223 years ago Pole sana'mungu yu pamoja nawe'
  • @
    @rizikladyherson84513 years ago Kweli kbsaa kuna watu wanajifnya hawana hya sana tena husubir jambo litokee ndo waongee
  • @
    @fatmabhai28123 years ago Mijitu kazi yao kupayuka payuka to Kama imekunywa maji ya chooni. Haya pingeni bac ukweli huo ndio mshaambiwa ivo!
  • @
    @tatungole4123 years ago Ni kweli jaman Hap cyo kwa mama ake ni kweny ukoo wa mama yake hat kama ni msanii atajenga nyumb ngap jaman😭😭
  • @
    @jescarwegoshola17543 years ago Huyu binti sikumjua nilimfahamu alipo kufa Mama yake,kweli mwanangu nakuombea baraka zote,ahadi yakuheshimu wazazi umeitimiza, binadamu sisi kuangalia kasoro tu,na kasoro zenyewe hatujui mambo yanaenda je. Mungu turehemu.
  • @
    @nahimanajo89933 years ago Kweli kabisa wambiye wasikiye binadamushida sana Lulu diva mungu iko naweye basi kaka gari nini? Na myumbanini ? Ame muhifazi mama yakesana hadiraha
    Mungu amulaze marehemu mahalipema mama muzazi😭😭😭basi izonyumba Na gari watakuzika nabyo nishida wanadamu nikuhachahivo Lulu diva usijali mushukuru mungu kwakila jambo 🙏🙏🙏 tunakupenda sana wahida mufanowako wengine akuna mwenye anaweza kupambana gisi ulipambana na mama mwanzo mwisho inyondosifakubwa kwa mungu umetimiza wajibuwako
    Kwa muziwetu 🤲🤲 mungu iko pamoja naweye achana na walimwengi nikawahidayaho kusema
    ...
    2
  • @
    @ginaed12403 years ago Namuonea huluma Sana huruma pole yake sana
  • @
    @lelaabdala81083 years ago Binadamu hakuna amuezae mungu peke yake ndie anaemueza maneno hawamalizi mpaka watiwe kaburini ndio maneno yataisha 2
  • @
    @maligeltabatholomeo81283 years ago Safi sana kwakuongea ukweli jamani hongera kaka
  • @
    @JosephKingwere2 months ago Yani wewe mtngaxaji Mungu akulipe kwa huuu kweli
  • @
    @khadijahali48373 years ago Yn watu wanavyomsema km wao wanacho hata hiko kiwanja tuu
  • @
    @lucynelsonmungure17193 years ago Na ndo nilikuwa nasubiri mseme kuusu nyumba walimwengu mko na mambo mengi Sana jmn
  • @
    @mashaallhmkonokwakwamkonog48453 years ago Safi sana wambie mafisadi walio kosahaya Wala hawajui vibaya
  • @
    @fathmaoman11863 years ago Kweli kabisa usemayo. Binaadam hatuachi manenomaneno 1
  • @
    @saidsaid59672 years ago Poe mdogo wng uwezikukuzuia alicho kipanga mung Tena natakanikupe moyo maana Mm simujui mama kafarika nkiwa mdg
  • @
    @zaitunisinamenye17993 years ago Makala mazuri saana, watu waanaongeya saana 1