Duration 11:34

STEVE NYERERE AMTUKANA MSIGWA - Ni PANYA Tu, Nagombea UBUNGE Iringa, Ana MADENI Sana

68 346 watched
0
184
Published 20 Feb 2020

STEVE NYERERE AMTUKANA MSIGWA - "Ni PANYA Tu, Nagombea UBUNGE Iringa, Ana MADENI Sana" VITA ya muigizaji Steve Nyerere na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa, imeendelea kupamba moto, ambapo Global TV baada ya kufanya mahojiano na Mbunge huyo sasa imemua kumtafuta Steve ili kujua nini hasa kinasababisha waingie katika vita hiyo.. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255676229628) HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 400
  • @
    @justinbenedictor35674 years ago Kelele za nini, si ukagombee uone utapata kura ngapi! Mpaka za wasanii wenzio utazikosa. 17
  • @
    @crollinpatrick49644 years ago Alicho kizungumza mh msigwa bungeni kilikuwa na maana sana kwa taifa ila tatizo ni uelewa, na mtu kama steve si rahisi kuelewa kwa sababu ni mjuaji sana. . ...Expand
  • @
    @bakariilulubala1204 years ago Wananchi wenzangu, bila kujali uwezo wa msigwa bungeni mwenye matatizo nialioutumia haukuwa wa kistaarabu ukichunguza kwa ndani ulikuwa na roho ya kwanini kwa mtanzaniakula matunda ya nchi yake ni vibaya? Inakuwaje utoe kauli ya kumdhalilisha mwenzio? Angeboresha kwa kusema wale wasanii wakubwa wa nje waungane na wasanii wa tanzania kutangaza utalii wa nchi yetu kuliko kutumia kauli mbovu yani watu wenye busara sijui hapo mzee huyu aliteleza? Steve anaandamwa bure kwenye comments mwenye matatizo ni huyu mzee alieonyesha roho ya kwanini kwa mtanzania mwenzie!. ...Expand
  • @
    @amaninaupendo.35394 years ago Amen amen. Kila wakati nasema watumishi wa Mungu jiepusheni na malumbano na watu. Ingieni vita nao katika maombi na siyo vinginevyo. Msigwa wewe ni Mchungaji vita vya nini na Watu?. Waefeso - 13. Mungu awasaidie. Amen. .. ...Expand
  • @
    @georgeigogo92594 years ago Stive nyerere ww nibwege tuu. Sana kwakujidai unajibishana na msigwa. 7
  • @
    @devidmwakipunda16974 years ago Mtangazaji bwege iyo kazi akufai wachie shirawadu. 3
  • @
    @ngometvarusha40304 years ago Mnapenda sana umbea sintofahamu ipi kwa mfano msigwa kaongea bungeni, mnampa kichwa nyerenyere nakuharibu jina la mwalimu. 1
  • @
    @suhadsalim55284 years ago Huyo hana mpango wowote sanaa imemshinda.
  • @
    @mwajejasson69954 years ago Wewe muandishi msigwa uwezi kumfanisha na huyo jamaa mm simuelewi hata kidogo. 12
  • @
    @benjaminlijongwa37154 years ago Wachungaji huwa tunapewa exemption (msamaha wa kodi) 3
  • @
    @stanslausmteme84554 years ago We anakujua nani! Eti kuigiza sauti iv ckuhizi anasikiliza nani? We nawe msanii! 5
  • @
    @agnetherkisinda35154 years ago Sisi kweli tunampenda msingwa sana! Kwaiyo ww pita kwa ivi tuachie msingwa wetu.
  • @
    @justinbenedictor35674 years ago Hivi huyu anazani kila mtu anaweza akawa mbunge. 9
  • @
    @mzungu20124 years ago Steve una uwezo mdogo sana baab. Unatakiwa kuwa serious na kazi.
  • @
    @josephmboya91634 years ago Kama we mwanaume rijali jaribu kugombe nae tena nakwambia utajinyonga baada ya matokeo.
  • @
    @nazmaabdullkarim80224 years ago Mttangazaji anamtetea msigwa sijui mwenzie.
  • @
    @richardnganya23114 years ago Stevejaribu kusoma nyakati! Uelewa wako bado sana ukilinganishwa na mch. Msigwa! Kazi mbadala ya usanii sio changudoa wala ujambazi! Steve bado sana!
  • @
    @danielmaeda50744 years ago Unachekesha watu ww hivi unaweza kujilinganisha na msigwa.
  • @
    @stanslausmteme84554 years ago Huna akili! Kwani mbunge ndo anajenga shule? Sasa we utajenga hela unazo? 5
  • @
    @gastordominic4104 years ago Kumbe sitive siyo mzima. Mm nacheka tu
    kumbe jamaa maiti.
    1
  • @
    @philemongomwa37284 years ago Haka kajamaa kwenyekuongea nadhani kanakula vyombo kwanza. 1
  • @
    @hafidhissa44054 years ago Umekubali kua kuku thamani yako pakiwa na sherehe hahaha. 2
  • @
    @rahelgika38704 years ago Hivi huyu steve anajielewa kweli! Eti msigwa hajulikani. 2
  • @
    @Rashidmhedhery4 years ago Hii channel ya ovyo sana, kama hamna cha kutuletea bora muache, hiki ki karagosi mnakitakia nini? Hakina sifa yeyote, kina kera tu! 6
  • @
    @donaldthomas89394 years ago Stive kumbe hajitambui, anataka mbunge ajenge nini na hela apate wapi, anazeeka hovyo. 1
  • @
    @lyimoshopingbag53744 years ago Wee mshamba kweli asie daiwa nani! Fala kweli ndio mana ukaumbwa mfupi. 1
  • @
    @elishamwaya40744 years ago Duh watu wa iringa mukimchagua huyu mutakuwa mabwege hana point hata moja.
  • @
    @stevenmsaaada.msaada.3894 years ago Hao viongoz wanaomtumia steve nyerere ndio waliomtuma akamkosoe waziri kuwatumia akina steve nyerere?
  • @
    @kanyikamasika23544 years ago Kumbe stive ni segito kweli huyu ni kichaa.
  • @
    @nicolausmavoa79094 years ago Egizamshen sio gari ya wizi bali ni gari ilioingizwa nchini kwa msamaha wa kodi. 2
  • @
    @simonzakaria47704 years ago Hivi hii tv imekosa kabisa mada zenye tija kwa wa t
    z.
  • @
    @davidnicholaus53044 years ago Dunia imemjua. Kwako dunia ni nini? Mouth mm. 2
  • @
    @savimbimapesa33014 years ago Ukabila huo et wahehe unataka kupotosha watu.
  • @
    @gastordominic4104 years ago Asa na ww mtu. Mtu unakula rambirambi. 1
  • @
    @mohamedharoub35054 years ago Steeve wew mpumbavu sanaa. Shida yako kiki. Wewe big name sababu ni tapeli wa kula michango yaumekushindaa.
  • @
    @andrew.gadimrinji17134 years ago Inaonyesha hauna ufahamu wowote. Ni pure msanii kwa maana mbabaishaji.
  • @
    @majaliwamsigwa39744 years ago Kweli we ni katuni, kapande miti mufindi.
  • @
    @allanbhujo87364 years ago Comment zote zimetoa jibu nani ninani kwa ufupi steve ni wasaa wako kujitafakari unaweza kupoteza marafiki wako kwenye taaluma yako ya usanii kisa kukosa kukaa kimya nako ni akili kubwa maana domo daima huinua na kuangamiza naona mdomo wako unakufaa kwenye sanaa si malumbano
    omba radhi usamehewe
    .
    ...Expand
    4
  • @
    @lucascornery93204 years ago Nyrere stevn ww mjinga kbsa kumtukana mtu mkubwa kama huyo.
  • @
    @loner_wolf4 years ago Steve unaongea kwa sauti kubwa sana, yule jamaa alikukosea sana kiukweli ni hajafikiria alichokisema but alikuwa na point nzuri tu, sasa sijui mnapiga . ...Expand 1
  • @
    @fundimchizi52254 years ago Sasa msigwa asionge chochote haka kajamaa kanaitumia hii nafasi hakakuwa kana sikika, sasa kameona ni nafasi kumbe kanazidi kujiaribia.
  • @
    @deobenedictakyoo31404 years ago Hakuna adabu kwnza kwnn kanatumia jina la baba wa taifa vbaya? 9
  • @
    @fadhili22934 years ago Steve ni ugoro tu. Big name wapi au dunia ya wapi hiyo.
  • @
    @justinekashiriririka86904 years ago Mwandishi unakosea sana huwezi ukamfananisha mbwa huyo na msigwa jaman.
  • @
    @mwanzashinyanga80604 years ago Huna lolote wewe ni choko tu msigwa humuwezi kivyovyote. 8
  • @
    @masanjaelias58294 years ago Kuwadi wa madem sijuiwanaume wenzio wew unakua upande gan.
  • @
    @usajiliusajili65114 years ago Steve unazidi kujizika mwenyewe yaani kichwa chako umetoa ubongo na kujaza matope. 1
  • @
    @barakamfugale10494 years ago Nywele kipipipili jinga kuropoka usenge bongo movie zimekushinda tako ww.
  • @
    @hamudseif4 years ago Dah steve unaongea pumbaaa, sema fresh.
  • @
    @kanisiamkoko70514 years ago Wewe steve umuwezi msigwa kwa lolote lile hata kidogo, kakusanye pesa kwenye misiba ndo kazi yako. 10
  • @
    @stanslausmteme84554 years ago Anaiombea nini ile ya tra? Eti then uwe mbunge. 1