Duration 2:30

Arumeru DcMuro Akagua Jengo lenye chumba cha Kisasa cha Watoto wa Kike

154 watched
0
0
Published 16 Jun 2021

Mkuu wa wilaya ya *Arumeru Ndugu Jerry C. Muro* ametembelea na kukagua miundombinu mingine mipya ya vyoo vya shule ya msingi Mringa kata ya *Olorien Halmashauri ya Arusha* Katika awamu hii Dc Muro amefanikisha ujenzi mwingine wa *vyoo venye matundu 12 kwa msaada wa wadau wa Maendeleo* na *choo chenye matundu 19 kilichojengwa na serikali* pamoja na wananchi na kumaliza kero ya uhaba wa miundombinu ya vyoo katika shule ya msingi mringa Katika hatua nyingine Dc Muro ametembelea na kukagua jengo lenye *chumba cha kisasa cha kuwasitiri watoto wa kike wanapokuwa kwenye changamoto ya hedhi* jengo ambalo tayari limeshakamilika ikiwa ni sehemu ya ubunifu wa Halmashauri ya arusha

Category

Show more

Comments - 0