Duration 3:45

Nana Khadija (A) | | Tumpelekee salamu kwani Mola سبحانه وتعالى na Jibreel (AS) walimpelekea salamu Italy

108 watched
0
1
Published 24 Apr 2021

*1⃣ Alhabib Sidi Shk Uthman Maalim..Zanzibar* ...Kutoka kwa Abou Huraira... *Alikuja Jibril (AS) kwa Mtume (SAW)* ...akamwambia Ewe Mtume wa Allah...Huyu Khadija amebeba chombo ndani yake kuna chakula na kinywaji...atapokujia.. .Mpe Salam Khadija kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى na kutoka kwangu mimi Jibril na mpe khabari njema kuwa..anayo nyumba Peponi..... *Ma sha Allah* _Khabar kubwa_

Category

Show more

Comments - 0