Duration 12:4

WIMBO- MWENYE UHAI MMOJA NI MUNGU BABA

42 708 watched
0
176
Published 29 Mar 2019

WIMBO- MWENYE UHAI MMOJA | NI MUNGU BABA | UABUDIWE, USUJUDIWE MWENYE UHAI MMOJA AMBAE NI MUNGU BABA Zechariah 14:9 Kwa nyimbo zote pata nakala yako www.kanisahalisi.com sasa unaweza kabisa nunua nyimbo mtandaoni umerahisiahiwa kabisa. Au pia piga simu idara ya mawasiliano Kanisa Halisi na utazipata:- namba 255715211428, 255756423598 au 255752394318. Kwa ibada za kila siku ingia YouTube channel ya MUNGU BABA TV

Category

Show more

Comments - 63
  • @
    @johnmihyo56745 years ago " hakika" ni mungu baba mwenyewe. Maana kabla ilikuwa ukiona yeyeote katengeneza au kaumba ana uhai wake na huo uhai ndiyo mungu babanafsi hai mwa. 2: 7 na kutupa uhai wake(nafsi ya uhai) yeye akiwa ndoyo uhai/mwenye uhai, ni shukuruni za kuzidi kwa mungu baba. ...Expand 6
  • @
    @jefredyfrednandy58803 years ago Naitaka kwa whatssp hi nyimbo inaniimarishaa sanaa. 1
  • @
    @jefredyfrednandy58803 years ago Huwaa nabarikiwaa sana na hi nyimbo barikiwen. 2
  • @
    @godlivermogereja23114 years ago Pia nashukuru kwakuwa tumempata baba alietuvusha kila nikifklia hadi tulipofkia utukufu ni kwa mungu baba. 1
  • @
    @godlivermogereja23114 years ago Huu wimbo naupenda mno utukufu kwa mungu baba maana kla nnachokifanya kinategemea uhai wake ndo kistawi. 1
  • @
    @joshuaunstoppable48435 years ago Namshukuru mungu baba kwajil ya baba mtakatifu tumevuka. 2
  • @
    @dhahabukablayawazo53135 years ago Imekuwa, nakushukuru mungu baba kwa uhai wako ndani ya kila kitu. Hakika utukuzwe mno baba mwenye uhai mmoja. 3
  • @
    @bustanimpya45995 years ago Ashukuriwe mungu baba kwan matendo take makuu. 2
  • @
    @moyowaaganojipya49175 years ago Namshukuru mungu baba maana bila yeye du. 3
  • @
    @trillioneaharisicerebratio93115 years ago Utamu huu wa mungu baba huwezi kuukuta popote zaidi ya kanisa halisi la mungu baba. 2
  • @
    @MajiraMojaHalisi5 years ago Kwa nyimbo zote unazozisikia hapa tafadhali wasiliana na Idara ya mawasiliano KANISA Halisi la MUNGU BABA namba 255715211428, 255756423598 au 255752394318. 2