Duration 4:13

NI MAJONZI AJALI YA MOTO KATORO GEITA/BAADHI YA WATU WAPORA MALI KATIKA AJALI HIYO/MKUU WA WILAYA..

3 220 watched
0
20
Published 20 Nov 2021

Soko la CCM Katoro Wilayani Geita , Mkoani Geita, limeteketezwa na moto alfajili mapema Jumamosi Novemba 20 majira ya saa 11 na kusababisha wafanyabiashara zaidi ya elfu moja kupata hasara hususani wajasiliamali wadogo wenye vibanda na maduka. Chanzo cha tukio kikishindwa kujulikana hadi sasa.

Category

Show more

Comments - 3