Duration 6:2

YERUSALEMI MPYA - THE SAINTS MINISTERS

342 864 watched
0
1.1 K
Published 24 Jan 2018

CONTACT: +254729536122 Lyrics Ipo siku ijayo naitamani sana, Mwili huu wa mauti taiacha humu duniani, milele tutaishi na aliyetukomboa, Yerusalemi Mji wa washindi. Chorus Yerusalemi nchi ya a hadi, urithi wangu upo taji 'tavishwa ya kifalme, nyimbo za sifa Kuu tutaimba kwa furaha, (Mwisho wa safari karibuni nyumbani) Machozi yatafutwa kifo nacho kitakufa, mambo yote ya kwanza yamekwishapita, maumivu yatakwisha, maombolezo yatakoma, walotuaga tutakutana tena pale. Nataka kumwona wa kwanza tukifika juu, Nimwone uso kwa uso maswali mengi nipate jibu, Wa kwanza kunilaki yule aliyeangikwa, akitusimulia Kisha cha ukombozi.

Category

Show more

Comments - 116