#RIPMaalimSeif
Rais Mstaafu Kikwete amewasili kwenye Msikiti wa Maamur Dar es salaam kushiriki Ibada ya kuuswalia mwili wa Maalim Seif Sharif Hamad , baada ya Ibada mwili utapelekwa Airport kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea Zanzibar. #MillardAyoUPDATES