Duration 4600

Kutaka Katiba Ya Kuzuia Uhaini kama wa 2020 Sio Chokochoko

1 074 watched
0
4
Published 8 Jul 2021

Tanzania Chini Ya Utawala wa Magufuli, Ilishuhidia Ugaidi, Ushenzi na Pillage Iliyofanywa. Kuua, Kuteka, Kupora, Kubambikia Kesi, Na Kuvuruga Kabisa Chaguzi Kihuni Kijambazi. Rais Samia Kama Anamwogopa Mungu Hawezi Kusema Kuwa Wanaotaka Katiba Mpya Ya kuzuia wazimu ule Usitokee Tena ati Wanaleta Chokochoko. Nadhani Rais Anaangalia tu Kuwa Kazi Yake Ni CCM lushinda Chaguzi au Kuendelea Kupora Chaguzi na Kuwapa Madisi miongoni mwao. Ni haya Mafisi Ndio Yatakayo Mponza.

Category

Show more

Comments - 0