Duration 5:27

KUKU WA ROSTI LA VITUNGUU - KISWAHILI

85 474 watched
0
1.2 K
Published 31 Dec 2017

Kuku mzima alokatwa vipande vidogo ( nimetumia 3.5 lb - 1.5 kgs) Vitunguu 3 vikubwa kiasi 1.5 lb /680gms Kijiko 1 kikibwa bizari nzima Kijiko 1kidogo cha unga wa bizari nzima Kijiko 1 kikubwa pilipili manga nzima Kjk 1 kidogo pilipili manga ya unga Chembe 6 kitunguu thom Ukubwa wa kidole gumba - tangawizi mbichi chumvi kijiko 1.5 kidogo

Category

Show more

Comments - 146