Duration 1:14:43

NYUNDO YA BARUAN MUHUZA : Ommy Dimpoz na mengi usiyoyajua

15 689 watched
0
230
Published 12 Apr 2019

Ni Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz, msanii wa muziki wa bongo fleva. Miongoni mwa mambo aliyofunguka na bifu lake na Diamond Platinumz, siri ugonjwa wake na sababu za kutibiwa na Gavana wa Mombasa Hassan Ally Joho, historia yake kimuziki, hatma ya muziki wake na mengine kibao. Ni kwenye kipindi cha #NyundoYaBaruanMuhuza ambacho ni kila Alhamis saa 1:00 usiku #AzamSports2 na Baruan Muhuza.

Category

Show more

Comments - 29