@dianaakello66092 years agoI love this lady hahahahha zai you' re just awesome. 4
@
@darajalakidatukilomgi23622 years agoZai nakupenda sana lakini haya masuala ya kufanyia utani wanawake kupigwa sio mazuri, nawaombenikuna wanawake wengi wamepoteza maisha kutokana na kuchekea tabia za wanawake kupigwa, naomba tukemee tabia za upigaji wa wanawake, na upigaji wa watoto, sio sahihi tunacheka na kufanya mzaha kwenye suala zima la upigaji, tabia ya kupiga inatokana na ugonjwa wa akili, naomba tusilichekee hili jambo. ...Expand10
@
@awenasuleiman45193 years agoZai mungu anakuon sura imeingiy kweny nyavu. 5
@
@zenamshana81402 years agoYaani mm namsachi zai ili stress ziishe. 2
@
@nassysakia95113 years agoZai anaongea utumbo mtupu lakini nampenda sana wallah. 15
@
@AfricaYangu2 years agoZai aise i just love you, nikiwa na huzuni nakuja zangu kwa geah hapa namsikilza zai na vituko vyake. 1
@
@valenakomba92182 years agoYaani we ma mdogo mii nakupenda sana. Maana unayoongea, ni ya ukweli na ndo maisha yetu. 1
@
@ashaali71543 years agoHuyu mama aende kuwa msanii ataweza sana. 12
@
@shifaaal-baity45033 years agoMasha allah rangi yake nzuri sana zai. 1
@
@catherinendanu75812 years agoChizi fresh wangu nakupenda bure. Yaani kila nikisikiliza story zako daa zai hata stress za maisha zinanitoroka.
@
@sadatamal36553 years agoHahaha da zai unaniuwa mbavu zangu wallah billah. 3
@
@hanifaomar74383 years agoHapo kwamjumbe ndio balaa si kwayes hiyo. 1
@
@user-qm9np2uf9m3 months agoYani nacheka mpaka nimestopsha hii video kwanzaa ka.
@
@mwatangachuma90692 years agoMjumbe yes mjumbe krii akiayamungu zai ww.
@
@user-qm9np2uf9m3 months agoMwanzo nilikua napenda tiktok ila saivi napenda sana youtube.
@
@magrethmallya77282 years agoJamani da geah, zai atatuua na vicheko.
@
@mkatungu74573 years agoJamani zai mbavu zangu mie. Nimecheka mpaka machozi na makamasi yamenitoka. Yalabi. 1
@
@Idafa2 years agoInasikitisha sana. Kama serikali haisaidii kwa nini wanawake hawa fight back? Learn from our neighbor - kenya. Ukora wa wanaume zao unapungua kwa vile. ...Expand
@
@betrackjasson66983 years agoTulikumiss jamn dada ukowap nije kukutemberea. 1
@
@achievefinancetz2 years agoDagaa limetoka baharini zikaja kukaangwa! Jamani. 1
@
@hagarbills40233 years agoZai nakuita mara tatu jamani mbavu zangu mimi. 2
@
@jonathannelson73922 years agoYaani geah nacheka kama wewe apa, zai kiboko yake.
@
@ghostgenerationtv7662 years agoZai ananifanya nimecheka kifala kama mweuu.
@
@minormine44172 years agoZai kwa kutunga mambo! Yaani utafikiri hadithi, hadithi njoo kuna siku moja sungura akamlisha simba jiwe la moto mdomoni. 2
@
@zashairbathandbody20093 years agoGeah kesi ka hizi c za kucheka kabisa. Matokea yake ndo unauwawa. Lazima vitu namna hii serkari ingilie na kuchukua hatua. 1
@
@aloycemsonga50942 years agoDah hizi sio story za kwenye kahawa kweli.
@
@linahsemindu42613 years agoDa geah naona ukimis kucheka unaenda kwa da zai mana huondok bila kucheka hapo. 2
@
@reginapiusi67502 years agoKisha zai huwa hacheki yupo siliaz hatar.
nawaombenikuna wanawake wengi wamepoteza maisha kutokana na kuchekea tabia za wanawake kupigwa,
naomba tukemee tabia za upigaji wa wanawake,
na upigaji wa watoto, sio sahihi tunacheka na kufanya mzaha kwenye suala zima la upigaji,
tabia ya kupiga inatokana na ugonjwa wa akili, naomba tusilichekee hili jambo. ...Expand 10
nikiwa na huzuni nakuja zangu kwa geah hapa namsikilza zai na vituko vyake. 1