Aunt Ezekiel, Stanley misungu, Ndumbango Misayo
Sikuwahi kuwaza kuwa maisha yatakuja kunibadilikia kiasi hiki,nilijua kuoa ndio njia ya kuondoa maovu nilio pitia, kumbe ndi kwwanza nilimfungulia shetani njia ya kunishawishi zaidi pole sana mke wangu maana sikuwahi kua mume bora kwako……