Duration 3:55

Ujenzi wa gharama nafuu wa mabwawa ya samaki.Ufugaji wa samaki katika mabwawa

14 886 watched
0
67
Published 8 Sep 2021

URUTUBISHAJI WA BWAWA LA SAMAKI KWA MBOLEA NA (MAJIVU) PAMOJA NA USAFIRISHAJI WA VIFARANGA WA SAMAKI. Kutegemea aina ya udongo, majivu ya moto huweza kutawanywa bwawani kabla ya kuingiza maji ili kupunguza Tindikali ya udongo na kuua baadhi ya wadudu walio maadui wa samaki waliopo katika eneo la bwawa. Mbolea huweza kutawanywa bwawani kabla ya kuweka maji ili kusaidia kujenga mazingira ya maji kutuama (yaani Kushikamanisha udongo). Vinginevyo, mbolea huwekwa eneo maalum (Uzio) mara baada ya maji kuingizwa bwawani ili kulirutubisha na Kuliwezesha liwe na vijimea na vijidudu vidogo vidogo vitakavyokuwa chakula cha awali cha samaki. Dalili za kuwepo kwa vijimelea hivyo bwawani ni kugeuka rangi ya maji na kuwa ya kijani. Aina ya mbolea hutegemea upatikanaji wake. Samadi ya ng’ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata na hata Majani mabichi yaozayo kirahisi na yasiyo sumu kwa wanyama na binadamu huweza kutumika. Kiasi cha kuweka mbolea hutegemea sana ukubwa wa bwawa, aina ya samadi na idadi ya samaki waliomo. Kipimo kizuri cha kiasi kinachotosha ni kuingiza mkono ndani ya maji hadi kufikia kwenye kiwiko, na usipoona Kiganja chako, basi simamisha uwekaji wa mbolea kwani vijimelea na vijidudu waliomo wanatosha kulisha samaki Waliomo kwenye bwawa kwa muda wa siku kadhaa. Ukizidisha mbolea ni hatari kwa samaki, kwani wanaweza kufa kwa kukosa hewa ya oksijeni, hasa nyakati za usiku. #mkulimasmart #shambadarasa UFUGAJI WA SAMAKI NA MBEGU ZAKE BWAWA LA KUHAMISHIKA (MOBILE POND) UFUGAJI WA SAMAKI WENGI KWENYE ENEO DOGO YouTube · Changamkia Fursa 11 Jul 2020 Ufugaji wa kisasa wa samaki kwa kutimia tenki la maji JE?UNAFAHAMU SAMAKI ANAFUGWA. HATUA MUHIMU KATIKA SHUGHULI YA UFUGAJI WA SAMAKI UFUGAJI WA PEREGE KWENYE MABWAWA YA KUCHIMBA UFUGAJI SAMAKI KISASA BWAWA LA SAMAKI LILILOJENGWA KWA MABANZI LIKIWA LIMESHAWEKWA MAJI TAYARI KUPOKEA SAMAKI 1000 UANDAAJI NA UPANDIKIZAJI WA. VIFARANGA AU MBEGU ZA SAMAKI. KATIKA BWAWA LAKO. Ufugaji wa samaki kwa njia za kisasa ufugaji wa samaki kwa mtaji mdogo bei ya chakula cha samaki ufugaji wa samaki katika eneo dogo changamoto za ufugaji wa samaki ufugaji wa samaki aina ya kambale ufugaji wa samaki aina ya sato pdf ufugaji wa samaki jamii forum ufugaji wa samaki kwenye pipa

Category

Show more

Comments - 14