Duration 2:38

ZITTO KABWE AZUIWA KUMPA MKONO MBOWE

146 766 watched
0
367
Published 30 Nov 2018

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam inatarajia kusikiliza Rufaa ya Mwwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko saa 8 mchana, ambapo pia mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amezuiwa kumpa mkono Mbowe mahakamani.

Category

Show more

Comments - 185