Duration 5:20

WATANZANIA WANAOSOMA NCHINI CHINA, WASISITIZA UZALENDO KWA TAIFA (TANZANIA)

16 683 watched
0
79
Published 2 Oct 2017

Watanzania wanaosoma nchini China kupitia Shirikisho la Jumuiya za Watanzania wanaosoma nchini humo (TASAFIC) wamesisitiza Uzalendo kwa Taifa la Tanzania, kwa Watanzania wote wanaosoma katika Mataifa mbalimbali Duniani Kote.

Category

Show more

Comments - 18