Duration 5:00

“TANGA INASIFIKA KWA MAPISHI, LAKINI JUZI NIMEKULA CHAPATI INAWEZA VUNJA DIRISHA” - RC MALIMA

10 584 watched
0
48
Published 24 Jun 2021

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima amewataka madiwani wa jiji la Tanga kutafuta pishi moja ambalo kila mgeni akiingia jiji hapa ajue kweli amefika Tanga. Malima amesema jiji la Tanga linasifika kwa mapishi mazuri hivyo ni vyema wakatengeneza utaratibu wa kuchagua pishi moja litakalo tangaza mkoa

Category

Show more

Comments - 43